Recent content by Blue boy

  1. B

    Nauli Feri: Mnyika, Hata Wewe?

    Surplus hata kama ingekuwa Tsh 100, hiyo nihuduma itolewayo na serikali....kwani unafikiri hata hiyo serikali kuu inatengeneza surplus! Ufanisi kwa upande waserikali haupimwi na kiasi cha surplus kinachoweza tengenezwa
  2. B

    Nauli Feri: Mnyika, Hata Wewe?

    ...somo tunalopata hapa ni mfumo wetu waserikali ulivyo, nguvu ya tuliowachagua ni ndogo katika kuisimamia serikali kwaniaba yetu kwenye mfumo uliopo. TUNAHITAJI KATIBA MPYA YA WANANCHI itakayomaliza uzandiki huu. Kwa mfumo uliopo, nguvu ya umma tu ndio inayoweza kuukabili na sio bunge wala...
Back
Top Bottom