Recent content by Benkinte

  1. B

    Tatizo la kula/kutafuna kucha

    Jaribu kupaka sumu kidoleni kila unaoamka asubuhi. Najua unapenda kuishi kuliko unavyopenda kunyonya kidole. Kwa utaratibu huo utaacha tu.
  2. B

    CUF iache unafiki

    CUF wanajua vema nini wanakifanya. Kwa makusudi wanasema haya ili kupata support ya watu wenye upeo mdogo. Wakati mwingine ni underestimation ya ni kwa jinsi gani watanzania wako informed kwa sasa. Ndugu zangu, amini msiamini kwa maneno haya tu wengi wanabaki bila ya kujua nini wakiamini. Werevu...
Back
Top Bottom