Slogan ya "2012, Dunia yako, chaguo lako" imeasisiwa na Clouds. Kilichotokea Arumeru na sehemu zingine ni ndivyo waionavyo dunia yao na chaguo lao. Sidnani kama Clouds watakua wamekasirika. Lakini Clouds ni entertainment radio, labda ni style yao ya ku-entertain, huwezi kujua.
Synovate wametoa na wao matokeo ya "opinion poll" waliyofanya kuhusu wagombea wa uraisi 2010. Magazeti mengi yameandika kwa "headings" zinazoashiria kwamba matokeo hayo ni "conclusive". Ila ukiishia kusoma vichwa vya habari tu, unaweza usipate picha ya ndani ya matokeo hayo. "The citizen"...
Nilipata kumsikia mtu akisema hangependa aitwe "mswahili". Nikapatwa na maswali mengi kichwani kwani mtu huyu alikua mzawa, mweusi na anaishi DSM.
Kabla sijamtaka undani kwa kauli yake hii, nilidhani uswahili ni title ya mtu mwenye ngozi nyeusi na anayeishi au anayetoka kwenye jamii ya watu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.