Recent content by batazoba

  1. batazoba

    Wasifu(CV) wa Ndg. Hudson Kamoga

    Hadson S. Kamoga ni Mkurugenzi walayadhuru gani?
  2. batazoba

    Wasifu(CV) wa Ndg. Hudson Kamoga

    Ndugu zangu naomba kujua huyu Mr Hadson S. Kamoga ni Mkurugenzi wa wilaya gani? Anaefaham anijuze tafadhali.
  3. batazoba

    Wasifu(CV) wa Ndg. Hudson Kamoga

    Jamani naomba kujua huyu bwana Hadson Kamoga ni DEDICATED wa wilaya gani kwa anaejua naomba anifahamishe.
  4. batazoba

    Wazanzibari wamuadhibu Seif kwa kushirikiana na Lowassa

    Kwa siku hizi za leo ambazo kila kitu kiko wazi kabisa nisingetegemea wewe kuwa na mawazo mgando kiasi hicho kwani ulikuwa na haraka gani usifuatilie mwenendo wa matokeo kwanza kisha ndio ulete huo upumbavu wako humu ndani? Jihadhari na hiyo tabia yako.
  5. batazoba

    Kikwete siyo Makini: Prof. Anna Tibaijuka hakupaswa kuwa Waziri

    Acha ujinga wewe,TIBAIJUKA kapokea hiyo pesa akijua kabisa ilipotoka leo nae kawa muongo eti alikuwa hajui kama ni escrow,hafai.
  6. batazoba

    Prof. Tibaijuka ashauri wabunge wasiwe Mawaziri!

    Aliyekuwa waziri wa ardhi na makazi wa Tanzania mh. Anna Tibaijuka anaitaka serikali kubadirisha utaratibu wa mbunge kutokuwa waziri ili wabunge waweze kuwahudumia wapiga kura wao badala ya kutumia muda mwingi kufanya kazi za serikali. Wadau kama sio uchizi ni nn hiki au ndio kapagawa baada ya...
  7. batazoba

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Noboka wapi huko hebu nipe habari.
  8. batazoba

    Asante sana Kafulila umetufahamisha wazi kuwa mwanadamu ni hatari

    Kwa sasa tumeisha fahamu sababu ya kuitwa TUMBIRI lakini hata hilo neno MWIZI halitupi shida kwani tafsiri yake tunaijua. Ni bora tumejua MWIZI ni nani baada ya tumbili kujitoa muhanga ili tu kuwanusuru wananchi na janga la MWIZI huyo.
  9. batazoba

    Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Huyu Rich Ndassa anawazimu wameisha pikwa ktk cocus ya CCM na wote wanasema mambo yanayo fanana pumbavu kabisa hawa.
  10. batazoba

    Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    Jamani kwa hali hii ya escrow account bado kuna haja ya kuwachangisha wananchi fedha za maabara au madawati?
  11. batazoba

    Nasari agharamia harusi ya shemeji yake huku shule ya msingi alipozaliwa yafungwa kwa kukosa choo

    Mbunge kazi yake sio kujenga,pesa za kujenga vyoo iko serikalini lakini hawataki kutoa kwakuwa jimbo liko chini ya upinzani.
  12. batazoba

    Kinana Usiongozane na Nape tena kwenye ziara zako

    Siku zote mwendawazimu huwa hajijui kama yeye ni mwendawazimu ila huwa anawaona wenzake ndio wendawazimu mpaka kufikia kucheka peke yake akiwaonea huruma watu wenye akili timamu kumbe yeye akingali amebaki na wazimu wake.Pole sana.
  13. batazoba

    Huyu mwanajeshi ananichanganya

    Na hili nalo unataka tukushauri dada yangu mpendwa?mbona unatupa kazi sana wakati kuna mambo ya msingi kujadili ili tupate nchi yenye maridhiano na sio kulazimishana. Kwa hili huoni kuwa kuna siku utataka tukushauri ni nguo ya ndani aina gani au rangi gani uvae ili utoke kwenda kwa huyo...
  14. batazoba

    Shyrose Bhanji akamatwa baada ya kupigana na Nderakindo Kessy jijini Nairobi

    Wewe huna lolote kutokana na hayo maelezo yako moja kwa moja yanaonyesha chuki binafsi "KOMAA WEYE" Unaandika vitu kwa kusikia? Je nayako wakiyasikia waandike humu ndani? Kuweni wastaarabu basi jamani huyo ni MBUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI hamumzungumzii mjumbe wa nyumba kumi.
Back
Top Bottom