Recent content by Basil Lema

  1. Basil Lema

    CCM imeshindwa tuisaidie kuondoka salama

    Walioonfoka walikuwa wagumu kuliko hawa. CCM haijaifikia USSR brother. CCM haijaifikia Ujerumani na Berlin Wall yake. Wanaoota ndoto kwamba CCM ni unbeatable endeleeni hivyo hivyo. Hofu yangu ni kuwa hamtapata muda wa kujadiliana "imeondokaje* kwa sababu hata yenyewe haijui "itaondokaje".
  2. Basil Lema

    CCM imeshindwa tuisaidie kuondoka salama

    Leo ninaanza na hoja ya upinzani katika siasa Tanzania. Sitaweza asilani kuzungumzia somo lote la historia ya upinzani wala kina cha ukombozi wa Afrika. Lakini katika kuhawilisha somo nitawapeleka kwa matukio na wawezeshaji wa baadhi wa matukio hayo. Wanajukwaa wenzangu. Upinzani katika...
  3. Basil Lema

    Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye rufaa ya Mbowe na Esther Matiko - Machi 6, 2019

    Hapo ni mahakama kuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Basil Lema

    KISUTU, DAR: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani Kisutu, akosa dhamana

    Sijui tunatafutiana ban..... Sijui ndo mapolisi waliowekwa mitandaoni ili watu wakitukana wakamatwe washitakiwe kwa makosa ya cyber crime. Sijui ni madhara ya tabia nchi kwenye ubongo wa mtu.... Sijui......sijui........ sijui.... Lakini najua wazi katumwa mtu hapa. Kama si na mwajiri wake...
  5. Basil Lema

    Tanzania: Opposition figure, Tundu Lissu arrested for rebuking president

    Mkuu Sophist! Hoja yako haimjengi yeyote. Nakuomba sana ujue kuwa wajenzi wa taifa wanabeba mizigo kwa lengo la kunusuru wengi. Wanaojijenga wenyewe wanabebesha wengi machungu kwa ajili ya kutengeneza furaha zao binafsi. Kama ukijisikia kuwa huna hoja ya kujenga taifa hebu tulia subiri...
  6. Basil Lema

    Mkapa, Salim waenda Botswana kumzika Masire

    You said it all
  7. Basil Lema

    Gwajima na Lema mjifunze kwa Mbunge wa Moshi Jaffar Michael kutolilia Mic msibani ili kuongea

    Wapendwa wanajamvi! Siku hizi nimekuwa mbali sana na JF. Hii ilinitokea baada ya kuona jukwaa hili tukufu (ambalo hata sasa naliheshimu sana) limevamiwa na watu (watoto ambao hawajapevuka kiakili) na hivyo wamekuwa wakiharibu kabisa ladha ya mijadala. Heshima ya mijadala imeshushwa sana na...
  8. Basil Lema

    Maana ya "ISAALEl " Siyo Upatanishi !

    Ndugu zangu wantanzania wenzangu; Amani iwe nanyi!!! Nimefuatilia kwa kiasi kifupi mjadala wa matumizi ya ISALE hapa jukwaani, nikaona si vema niwaache muendelee kujadiliana kitu hiki kikubwa kwa upotoshaji, ujuzi mdogo na hatimaye mkasababisha kufuru dhidi ya mila za wenzenu. ISALE ni mmea...
  9. Basil Lema

    Ushauri kwa UKAWA, achaneni na siasa fanyeni mambo mengine

    Sijaona mawazo mabaya hapa. Wote mna hoja nzuri na meaningful. Ninachoweza kuwashauri ni kwamba ukombozi hauko kwenye "bidii" wala si wito. Ukombozi si shughuli ya namna ya kujisikia. Ukombozi si fikra. It is not understanding either. Ukombozi ni SPIRIT. Spirit does not die. Those possessed...
  10. Basil Lema

    Naomba Msaada wa Kisheria haraka

    Ndugu zangu Amani iwe nanyi. Mimi si mpitaji sana katika jukwaa hili. Lakini kwa wakati huu ambao mimi ni mhitaji mkubwa wa msaada wa kisheria nimelazimika kutembelea hapa na kuomba nisadiwe ili niwaokoe wengii. Nilitangaza yapata mwaka mmoja sasa kwamba nitaipeleka serikali mahakamani...
  11. Basil Lema

    Mkakati wa hujuma za Kinana mkoa wa Kilimanjaro wanaswa

    Wanajamvi, Kinana atakuwa Mkoani Kilimanjaro kuanzia tarehe 14 - 22/3/2015. Ziara hiyo badala ya kufanyika kwa lengo la kuwatumikia wananchi kama kiongozi wa chama tawala na pia kukijenga chake kwa uhalali, zimelengwa sasa kufanya hujuma kadhaa dhidi ya CHADEMA mkoani hapa. Taarifa za ndani...
  12. Basil Lema

    USAHIHI: Kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kusini

    Greenwhich; inawezekana hujui huyu anayejiita utaifakwanza ni nani. Huyu ni bwana Paul Makonda. Kwa kweli uliyosema ni ukweli mtupu. Mimi sithubutu kujibizana naye, maana akili yake na uzalendo wake ni tofauti sana vyangu. Hata kwa Id peke yake utaona mimi na yeye nani mnafiki. Yeye hathubutu...
  13. Basil Lema

    Naomba kujua kuhusu Mkoa wa Kilimanjaro

    Karibu sana mkuu! Najua umepewa tahadhari nyingi. Lakini mimi nikupe moja tu ambayo itakufanya salama katika muda wote utakaokuwa Moshi. "Kama una kadi ya uanachama wa CCM iache huko huko kwenu. Usikanyage nayo Moshi! Wenyeji wakijua utaona kimya kimya wanajitenga nawe"
  14. Basil Lema

    USAHIHI: Kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kusini

    daruweshi na ifweero sikatai ninyi kuilink CDM na kanisa na CUF na Uislamu maana hamjaonesha kinacholitisha taifa kwa vyama hivyo kuonesha hofu kwa Mungu. Lakini pia hamjasema chama chenu CCM kina hofu ya nani? Kwa hakika huyu mungu mnayemwabudu huko CCM hawezi kuwaacha mnyamaze mnapohisi kuna...
  15. Basil Lema

    Polisi & CCM na hila za ugaidi CHADEMA: Wakamata house boys na girl wa Lwakatare usiku...

    Rich sipingi kauli yako kwamba watu 'wameuawa....haki itendekr' Ninachotaka ukumbuke tu ni kwamba serikali ya CCM inajua sababu za kumtengenezea Lwakatare kesi za ugaidi. 'Haki itendeke' hebu tushirikiane waliolipua mabomu kwenye mkutano wa CDM pale Kaloleni wapatikane. Tuliomba mhe. Rais aunde...
Back
Top Bottom