Recent content by Balantanda

  1. Balantanda

    FT: Yanga SC 5 - 0 Ihefu SC | NBC Premier League | Azam Complex | 11.03.2024

    Vipi hii nayo ilichezwa kabla??..Mlihongwa shilingi ngapi ndugu MHASIBU
  2. Balantanda

    Mbeya: Aliyewahi kuwa Katekista azikwa akiwa hai akituhumiwa kwa uchawi

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/-kiongozi-wa-kanisa-azikwa-akiwa-hai-mkoani-mbeya-2749348
  3. Balantanda

    Mbeya: Aliyewahi kuwa Katekista azikwa akiwa hai akituhumiwa kwa uchawi

    Inakuwaje taarifa ya Mwaka 2013, zaidi ya miaka 10 iliyopita unaileta leo?….HUU NI UPOTOSHAJI WA KIWANGO CHA JUU…Hili tukio lilitokea mwaka 2013 wakati Mkwajuni ilikuwa wilaya ya Chunya na Wilaya ya Chunya haijagawanywa…Kwa sasa Mkwajuni ipo Wilaya ya Songwe Mkoa wa Songwe… Pia kipindi tukio...
  4. Balantanda

    Askofu Protase Rugambwa avishwa hadhi ya Ukardinali

    Hii kitu inakuharibu sana…Punguza kula Kitimoto
  5. Balantanda

    RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

    Maxence Melo Mike Mushi Invisible Faridah Paw Asha Dii Mzee Mwanakijiji Balantanda Bubu Ataka Kusema (BAK) Mkandara Gender Sensitive/Regia Mtema (R.I.P) Mwafrika wa Kike Kelly01/Binti Maringo Nyani Ngabu Game Theory Fundi Mchundo Jasusi Lunyungu Gaijin Joka Kuu YourNameIsMine Belo Masanilo...
  6. Balantanda

    RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

    Hahaaaaa….Tupo kama hatupo….Miaka 15 sasa ndani ya JF….Ni kama juzi tu
  7. Balantanda

    Nampongeza Askofu Rugambwa wa Nyaishozi kwa Kuteuliwa kuwa Kardinali Mpya

    Siri ya Jina Rugambwa kwa Askofu Mwanadamizi wa Jimboi Kuu Katoliki la Tabora Kadinali Mteule Protase Rugambwa
  8. Balantanda

    Nampongeza Askofu Rugambwa wa Nyaishozi kwa Kuteuliwa kuwa Kardinali Mpya

    Hakuna Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania… Kuna Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania - TEC (Askofu Mkuu Gervas J. M. Nyaisonga) ambaye husaidiwa na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (Askofu Flavian Kasala Matindi)…..Na kuna Mtendaji wa TEC ambaye ni Katibu Mkuu wa TEC...
  9. Balantanda

    Nampongeza Askofu Rugambwa wa Nyaishozi kwa Kuteuliwa kuwa Kardinali Mpya

    Kuna mwingine huyu hapa: Askofu Mkuu NOVATUS RUGAMBWA. https://www.catholic-hierarchy.org/bishop/brugamn.html
  10. Balantanda

    Tribute to Mwana JF Mwenzetu William Malecela Le Mutuz, Alikuwa Mtu wa Watu

    Nipo brother… Mimi huwa naingia kwa kuibiaibia tu… Pole pia kwa kumpoteza legend mwenzetu wa JF…Ni pigo kubwa sana hili kwa JF na Taifa…
Back
Top Bottom