Recent content by bakenyile

  1. B

    Ukibaraka wa Zitto wa jana na unafiki wa Makamba wa leo!

    Ndg mtoa hoja kuna kitu kimoja umesahau kwamba hii JF ni yana Chadema tu. ukionge ukweli wao kazi yao ni kung'aka. nasikitika JF sikuhizi imepotez mvuto maana imekaa ki Chadema zaidi na sio ki Taifa. Ombi: wekeni wazi tu kuwa hoja za hapa ni kwaajili ya kusifia CDM na viongozi wao na sio kwa...
  2. B

    Kwa nini Richmond?

    kwani ww hujui kuwa tume iliyoundwa na Bunge ilikuwa ya kuchunguza mkataba wa Richmond? Ndugu maswali mengine uliza baada ya utafiti. Tunazungumzia Richmond kwasababu ndiyo iliyoundiwa tume na ndiyo iliyoanzisha kwa mara ya kwanza Wabunge kuwa wa kweli na wawazi. Lakini labda nikuulize swali...
  3. B

    Kumbe hata baadhi ya Wabunge wa Upinzani wanapokea Rushwa!

    mzee wa site atatusaidia kweli,maana alishawahi kushauri kuwa Shetani na Mungu ni marafiki wakubwa lakini hawaishi mtaa mmoja. Khy Kikwete na Lowassa hatakama ni marafiki sana katika siasa wanatakiwa waishi mitaa tofauti.
  4. B

    Movement for Change yaingia Simanjiro....!! Ole Sendeka ahahaaa...!!

    Ndugu yangu unasema mafisadi watakwisha huku wakitoka CCM, Chadema ina wapokea?
  5. B

    Sitta ‘amshushua’ waziri mwenzake kutokana na kukwepa kujibu swali la Mbunge Zitto Kabwe

    toghocho Sitta hawezi kujipendekeza ila wewe na wenzio wengi mmekosa fadhira kwa huyu shujaa, ndio maana saa ya kuikomboa nchi ilipo fika wote mlinunuliwa mkawa mnapiga maandishi tu hapa ya kinafiki. Watanzania wazalendo ebu tujiulize kwenye issue ya Richmond ni kitu gani tulicho kifanya...
  6. B

    Hatumtaki James Millya Arusha Mjini: Tunasema NOOO, big NOOOO. Take note Mh: Godbless Lema

    Nakuunga mkono Patriq lakini nakuongezea tu kwamba Mafisadi ni sawa na Shetani, hawatakiwi kukaribishwa hata kidogo. Wanatakiwa waishi mtaa wao peke yao. CDM kwa kufanya hivyo ni sawa na kula matapishi.
  7. B

    Hatumtaki James Millya Arusha Mjini: Tunasema NOOO, big NOOOO. Take note Mh: Godbless Lema

    Frank m, naomba nisikilize kidogo, kuna tatizo moja letu sisi watanzania wote ambao tumejikuta tumekuwa limbukeni na ni watu wa kushoboka tu, haingii akilini leo hii CDM wameamka na kumshobokea Millya ati ilimradi tu he has quited CCM. Chadema ina hubiri kupambana na Ufisadi lakini leo...
  8. B

    Jinsi Lowassa alivyojichomeka sherehe za RC Ifakara na kumchefua kardinali Pengo

    jamani hii ina maanisha hata kwetu Kyela ambako amealikwa kama mgeni lasmi na kakikundi ka akina Mwakipesile na Mwaitenda hatafika? namshukuru Cardinali Pengo atakuwa ameokoa damu ambayo ingemwagika kutokea Uyole, Tukuyu na kuishia Kyela.
  9. B

    Risala ya wananchi wa Kyela Kwa Mbunge wao Dr. Harrison G. Mwakyembe

    cha Moto Ndugu yangu nafurahi kwamba haupo Kyela kwahiyo huna haja ya kuijadiri Kyela ambayo huijui. Nyamaza. Hakuna ambapo Mwakyembe anasingizia, unayoyasema ni hadithi na kama yale aliyoyafanya Mwakyembe yanaweza yakafanywa na Mbunge mwingine au ww basi huyo atakuwa malaika. Mwakyembe ndie...
  10. B

    Risala ya wananchi wa Kyela Kwa Mbunge wao Dr. Harrison G. Mwakyembe

    wewe nimekuambia kaa kimya na acha kudanganya watu hapa kwenye mtandao maana haupo Kyela na unahadithiwa tu, endelea kutumika na mafisadi ili wakushikishe kuta. ulizia vizuri wakuambie wasikudanganye Kyela inajua yote aliyoyafanya Mwakyembe na ndio maana ina muunga mkono. Hakuna Mbunge aliefanya...
  11. B

    Risala ya wananchi wa Kyela Kwa Mbunge wao Dr. Harrison G. Mwakyembe

    Siamini kama hapo hakuna wana Kyela na kama umati ule uliokuwa unashangilia ile risala ni kakikundi basi hii dunia sielewi. Ila nakuonya kitu kimoja, kama wewe unatumika na mafisadi jihadhali sana na endelea kujificha kwenye mtandao huku. Kama wewe ni mkweli ebu penyeza pua yako hapa kwetu...
  12. B

    Risala ya wananchi wa Kyela Kwa Mbunge wao Dr. Harrison G. Mwakyembe

    You may crazy, kama ule umati niliouona mm uliletwa basi hicho kikundi kingekuwa tajiri sn, ninaamini ww ni mmoja wa wale wanaotumika kama condom, ndio maana unashindwa kuangalia vitu kwa uhalisia. Furthermore I m sure you are not from Kyela and if so then I regard you as blind minded. Kyela is...
  13. B

    Risala ya wananchi wa Kyela Kwa Mbunge wao Dr. Harrison G. Mwakyembe

    RISALA YA MAPOKEZI YA MH. MBUNGE NA NAIBU WAZIRI WA UJENZI DR. HARRISON GEORGE MWAKYEMBE WILAYANI KYELA TAREHE 30 MWEZI WA 3 MWAKA 2012 Mhe. Mbunge wetu na Naibu waziri wa Ujenzi, Dr. Harrison George Mwakyembe; Mama Linah Mwakyembe; na wasaidizi uliofuatana nao, Sisi wananchi wa Kyela...
  14. B

    Dk. Mwakyembe aitahadharisha CCM

    Tatizo lenu nyie wafuasi wa mafisadi ni kwamba mnasoma juujuu tu, ebu kuwa mstaarabu katika mambo yanayo husu nchi yako. Mwakyembe alikuwa anakitahadharisha chama chake na sio kulopoka. Subirini mshikishwe kuta tu.
Back
Top Bottom