Recent content by Bad News

  1. B

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Habari zenu wana JF.? Nimekuja kwenu kuomba ushauri wa kitaalam mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) . Nimejichanga boom nimepata mtaji wa mil 1 nimejaribu kuwaza ni biashara gani nifanye ntakayoweza kumudu huku nikiendelea na masomo yangu chuoni ila sipati jibu sahihi...
  2. B

    Biashara ya miili Iringa noma

    eeh wapi tena.!?
Back
Top Bottom