Hongera sana kwa mleta mada, jamani nimepitia hoja zote na nimekutana na hoja kama mbili zenye matatizo kama yangu. Ningependa kupata masaada maana nimekuwa nijaribu sasa ni kama 6 months ku concieve na nimeshindwa kabisa na nipo kwenye ndoa ni one year sasa. Ila huko nyuma kabla ya huyu bwana...
Hii inadhihirisha jinsi gani NGONO ilivyotawala fikra za binadamu. Je ni asilimia ngapi pia kati ya wanawake na wanaume hufanya hivyo! ningependa itwaje pia.
Mjomba acha kabisa hayo mambo aise. Hivi wewe ukija sikia wife wako kaliwa na baba mkwe(baba yako mzazi) utajisikiaje! bas,kaa mbali sana na huyo mama. Katika maisha penda kutenda mambo utakayopenda kutendewa. Kila la heri ndugu.
Kivipi wakati siziapply tena bali ni yeye ndo mwenye tatizo. Kwa hio mtu akipitia mambo fulani basi huko mbeleni yatamtafuna! hebu nifafanulie hapo ndugu mpendwa.
Jamani za leo, kwa kweli topic yako imenigusa sana Nyamayao, tena kabla sijasahau mbona PM yangu hujanijibu shostiiii! Sasa mwenzangu kuhusu huyo dada na maongezi yako inaonekana kabisa anajiweza kimaisha. Jamani mapenzi hayalazimishwi na kila shetani na mbuyu wake, ushauri wangu ni bora...
Tena unapokuwa na shida kipoozeo ndo mda wake muafaka... maana nadhani kisingekuwa hicho kipoozeo asingeweza kuvumilia hio miezi mitatu. Tena ntakuja chumbani kwako(PM) unipe stori zaidi na kuelimishana zaidi. Tusiwape wanaume uhondo...!
Ni kweli kabisa, wanawake wengi huwa wavumilivu sana, na uvumilivu huo naweza kusema hujengwa kuzuia aibu (ndoa imemshinda) katika jamii. Tumeumbwa na moyo ya kujali sana tofauti na hawa wenzetu. Ila pia wanaume hudhani pale mnapoombana msamaha yakaisha huisha, No, ili nayeye moyo wake utulie...
Duh naona palikuwa patamu, ndo maana kwenye mada yangu nilisema sipendi kufikia huko...nilitaka tuu kumuelimisha na huko kutokupokea simu kwake kunaponikwaza. Maana ukimchunguza bata sana hutamla. I think mpaka hapa nimeelimika sana na hizi simu. Asanteni sana.
Shosti, sasa nikiwa mbogo ntawapata na hao mashoga! Cha msingi mimi naona ni heri niendelee kuwa kivyangu vyangu au nitafute mashoga walioko kwenye ndoa zao pia. Au sio! Maana thio thiri mimi toka nyumbani sipendi mashoga na nikiwa naye si shey naye mambo yangu ya ndani. Au vipi shosti belinda!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.