Recent content by as me

  1. A

    Joyce Ndalichako: Clouds FM ilimpa promo kijana aliyendika matusi kwenye mtihani wa Kidato cha Nne

    kuna kitu nyuma ya pazia juu ya hii redio lazima kuna mtu anawapa kiburi muda mwingi huwa ni wachochezi wa mambo, no wonder walipelekewa keki ya bethdei ya mheshimiwa
  2. A

    Mengi adai Polisi wahusika kutaka kumbambikizia mwanae madawa!

    hivi we unachokiongea ni kipi kisichowezekana kupeleka madawa india ni kipi?, then umeshaambiwa ni mchezo mchafu ulitaka kufanyika may be walitaka kumkamatia airport kuhusu maofisa kulipwa we hiyo haikuhusu alijuaje we jua amefahamu n dats it awataje mara ngapi wliohusika? acha kudandia tren kwa...
  3. A

    Ushauri-TFF mechi ya Morocco iwe 10/10/10

    acha hizo wewe kama ushindi upo upo tu, hata mechi ingechezwa cku isiyo na jina usituharibie wachezaji wetu kisaikolojia acha vijana wafanye kazi huko ndio kutafuta sababu na kuwatia uvivu, mwanamichezo bora hana hizo, goooo poulsen boys n make us shine like stars as ur the stars of the nation
  4. A

    Ripoti: Uchumi unakua, umasikini unaongezeka

    wengi wetu hatujui nini tunataka kufanya na ni vipi tutafanya kwahiyo tunashindwa kuweka mipango na tukiiweka haitekelezeki coz hatujui tunakoelekea.kinachotuharibu zaidi ni kupenda short cuts hamna anayependa kufuata utaratibu mwisho wa siku tunajikuta tunatumika tu, umasikini wetu utakoma...
  5. A

    Elections 2010 CHADEMA waandamana wakiilalamikia TAKUKURU

    we are we exactly going and wat a we doing??, takukuru ndio wa wanza kuomba ushirikiano na wananchi, wanapoonyeshwa ushirikiano huo hawautilii maanani 2waeleweje?.ila kama ipo ipo tu ipo siku kitaelewaka tu
  6. A

    Elections 2010 CHADEMA waandamana wakiilalamikia TAKUKURU

    acha kutuchanganya wewe mambo ya FBI yanatuhusu nini sisi??, hata km takukuru ingekuwa ya kwanza kimataifa km haiwezi kututhibitishia sisi hilo ni upuuzi mtupu, km wanapewa vithibitisho vyote vya harufu ya rushwa then hawachukui hatua c tuwaeleweje?, afu unakuja na story za FBI hapa we vipi
  7. A

    TRA: Hivi huu ndio utendaji bora? Bora mfutwe tu...

    frankly speaking these people are problematic, tatizo wana introduce systems mpya bila kuwapa training watu wao, wanaofanya kazi wengine wanaenda training mabos wat du u expect? eti pamoja tulijenge taifa letu kwa mtindo huu kweli???. humu ndani najua kuna wadau wa TRA wafikishieni taarifa plsss
  8. A

    4 The Ladies,if your BF/Husband Slaps U Whats your Best Reaction?

    i will tell him "if that gives u a relief its ok wit me"
Back
Top Bottom