Academy mbona zipo nyingi tu.Je zinatiliwa maanani?Walimu wenye vigezo vya kitaalamu wapo.Je wanapata sapoti?Tff inatakiwa kusapoti na siyo kumiliki Academy.
Wadau naona tunatafuta mchawi bure...
Narudia je maandalizi kuanzia chini kwa kiwango cha kimataifa tunacho?Program za watoto zipo?na kama zipo chache vyombo husika vinawajibika?japo kuvitembelea?
Huko tunako angalia luninga na kushabikia timu za nje,kila mchezaji ana historia kuanzia chini,iwe...
Wanabodi,heshima kwenu.
Nahitaji nyumba ya kupanga 2 bedrooms, self contained. Iwe na uzio/ gate, isiwe ghorofa ila ikiwa duplex ni sawa tu. Range 150,000/- hadi 200,000/-
Tafadhali toa namba na sehemu iliyopo au ni PM.
Maeneo:Boko, Mbweni, Moga Shuleni area au Bunju A
Suala la lugha ya kiingereza,miaka ya 90 kurudi nyuma,serikali katika shule zake nyingi zilikuwa atleast na walimu wawili
wageni wanaofundisha somo la kingereza katika shule za skondari.
Utaratibu huu ni mzuri,
Shule za serikali zikiboreshwa kama awali,miaka ya baada ya uhuru ni kila mtanzania atapata elimu bora.
Elimu n jukumu la serikalina nina imn litatekelezeka.
Suala la Elimu sio biashara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.