Pia inakuwaje nikiwa mjamzito m miez ya mwisho kila mara nakuwa naota nimejifungua mtoto wa kiume na mwisho najifungua wa kike na pia ujauzito wa pili niliota mara nyingi kuwa nimejifungua mtoto mtoto wa kike ila nikajifungua wa kiume hapo kwann inakuwa ni kinyume chake
Hi nafurahi sana kuona unajieleza kwa ufasaha.. Hali hii ni ya kawaida sana. Wengi huwatokea na kupotea. Jua wewe uko kawaida tu jipe nafasi ya utulivu
Asante kwa ushaur
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.