Recent content by Anchelaus Kyaruzi

  1. A

    Dr Slaa ana mchango mkubwa ushindi wa Chadema Arumeru.

    Sahihi Dr. Slaa ni kila kitu ndani ya tanzania bara na hata visiwani, tuache utani huyu mtu mimi kwa mtazamo wangu namlinganisha na Mwl. Nyerere kwa vile ni mzalendo wa kweli na hupo ka ajili ya manufaa ya watanzania. Tumuombee kwa mungu.
  2. A

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Mambo ni mengi ya kusemea bei za umeme lazma zipunguzwe ili wananchi wapate haueni katika maisha na hat bei za mafuta ya taa zipo juu sana pia na gharama za maisha zimepanda sana na pia thamani ya hela yetu imeshuka kupita kiasi pia hata noti zetu hizi zilizotengenezwa hazipo katika kiwango...
  3. A

    Siri ya kushindwa CCM Arumeru Mashariki

    Tunajua kwenye mpira kuna kipenga cha kwanza na cha mwisho lkn lazma tuwe wakweli ccm wamechoka hawana sera zaidi ya matusi na hawatetei wananchi kabisa kwa vile wananchi wako hoi kabisa hawana kitu ndani ya miaka 50 bado mambo ni yaleyale. Wasubiri kiboko chao 2015.
Back
Top Bottom