Recent content by Analyse

  1. Analyse

    Niishi vipi na uyu baba wa watoto wangu

    Huyo jamaa yako ni mkatili sana.
  2. Analyse

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Acha utapeli, wenzako wanatuma picha zao, wewe unatuma maua. Mods, mpigeni ban huyu.
  3. Analyse

    Wazee nahisi kuna mtu amenicheza, nikipata hela hazikai

    Yani hela umalizie kwenye pombe, alafu useme mtu anakuchezea?
  4. Analyse

    Ushauri kuhusu mabinti wawili nilio nao kwenye mahusiano

    Komaa na huyo uliyemposa tayari. Ukihairisha utamuharibu kisaikolojia na karma haitokuacha salama. Mpaka unafikia uamuzi wa kumchumbia na kutaka kumuoa, means kasoro zake zote ulizijua na ukaamua utaishi nazo. Mapenzi yanauma kisenge, usifanye uamuzi utakaoujutia mbekeni. So think twice broh.
  5. Analyse

    Kwahiyo Matola yeye bado yupo Simba?

    Matola anajitolea pale, halipwi chochote ni upendo wake tu kwa timu.
  6. Analyse

    Simba misimu 3 makocha 7 anatafutwa kocha wa 8, mna uhakika kuwa shida yenu ni makocha?

    Kiuhalisia, Simba hawajui tatizo liko wapi, ni kama wanabahatisha. Hela wanazo, hivyo shida sio uchumi. Kila msimu wanaibua nadharia tofauti. Mara waseme shida ni Matola, jamaa akaenda zake kusoma ila bado tabu ikaendelea kuwepo. Wakamsema ni Mgunda, nae akaondoka, wakamsema ni kocha, nao...
  7. Analyse

    To you Ephen

    Wanapata tabu sana, mfano aliyefungua huu Uzi hajapata hata like toka kwa huyo ephen. Alafu tukiwaambia waache shobo, waende pm hawataki
  8. Analyse

    Hakuna umeme toka Asubuhi

    Broh wapi huko? Isijekuwa upo Congo.
  9. Analyse

    Lotion gani nzuri kwa mwanaume?

    mchumba kuwa bampa to bampa na huu Uzi. Then nicheki unipe conclusion
  10. Analyse

    Simba SC yaachana na Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha

    Muda wa Mgunda kurudishiwa timu yake
  11. Analyse

    Kama una mpenzi ambaye yupo mbali yataka moyo sana

    Najivunia mchumba wangu
  12. Analyse

    Kulikoni huu mche wa apple?

    Nini maana ya maua mkuu? Naona mche una maua, ila unasema sio maua. Sina ujuzi wa kilimo, lakini tafsiri ya neno ua na tawi, zipo wazi sana.
  13. Analyse

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Hakuna kosa. Ila nadhani hatuelewani au umeamua kutonielewa. Ninachosema Mimi, hao ni watu wawili tofauti. Haijalishi yule kuuza dafu Ile ni cover au uhalisia.
Back
Top Bottom