Recent content by 0012

  1. 0

    Sheria inasemaje?

    kwa uwelewa wangu mimi, katika kesi ya jinai anayeshtaki ni jamhuri na aliyetendewa kosa husika ni shahidi , kimsingi kesi ya jinai inapokuwa imefika mahakamani aliyetendewa kosa hana mamlaka tena ya kusema eti wasuluhishane nje ya mahakama. kuhusu kufuta kesi, Mahakama ndiyo yenye uwezo wa...
  2. 0

    Kavunja ahadi ya uchumba sheria inasemaje?

    Sheria ya ndoa ya mwaka 1974 kama ilivofanyiwa marekebisho mwaka 2002 iko wazi katika hilo na kwa kifupi angalia kifungu cha 69-71, kama inavosomeka hapo chini:- 69. Right to damages for breach of promise of marriage (1) A suit may be brought for damages for the breach of a promise of...
Back
Top Bottom