Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Kunayo haja gani ya kuandika wrong brand name ili hali sio? 有什么必要把品牌名称写错才不会呢?这已经超出了愚蠢的范围。我们不是胆小鬼,先生
0 Reactions
0 Replies
343 Views
Nawaambia huu ukweli ambao pengine mwanaume wako anashindwa kukwambia labda kutokana na kuhofia utajisikia vibaya. Ila aminini hili kuanzia leo, mwanamke akivaa wigi anakua takataka kabisa, sijui...
62 Reactions
206 Replies
20K Views
Hello,. Mwanaume umevaa mkanda nje umechomekea shirt nzuri suruali nzuri mkanda mweusi kiatu brown.....big no,mkanda mweusi kiatu cheusi....mkanda brown kiatu brown...... -Ukajivalia suruali...
11 Reactions
35 Replies
2K Views
Siku hizi ni kawaida kumkuta mwanaume amevaa cheni shingoni au hereni masikioni. Tena utamkuta mwanaume mwenye akili zilizotimia (achilia mbali mateja) amevaa hereni na cheni kubwa huku akijiona...
11 Reactions
364 Replies
46K Views
Shkamooni wakuu over 24+ Inakuwaje wakuu under <23. Nauliza ni mafuta gani mazuri (skin care routine) ambayo nikitumia sitowahi kubadili? Name & Price (bei za kawaida) na ni wapi naweza...
13 Reactions
178 Replies
12K Views
Habari 🖐 🖐 🖐 Kuna jambo naomba mnishauri, najua kuna watu humu mnajua mawili matatu kuhusu nywele. Mm nywele zangu kwa sasa zipo level hii(picha hapo chini) baada ya kuacha kunyoa takribani...
10 Reactions
80 Replies
5K Views
Salaam! Wanaume tuwe makini kwani kizuri kikizidi huwa kibaya. Ushawahi kusikia finite na infinite, chenye mwanzo na mwisho relatively..... Basi tunao penda kuvaa vizuri na kupendeza tuwe na...
20 Reactions
164 Replies
8K Views
Ninasumbuliwa na darkspot jamani nimetumia mafuta kibao lkn Bado hali ni ile ile ni nafuta gan mazur ya kutumia . Aina ya ngozi yang ni oily skin
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Jamani naombeni ushauli, mimi ni mdada nataka kunenepa😒Nina kilo 52 sasahv nataka kuongezeka mwili lakini yani kula kwangu kunasuasua ani, nikila kidogo tu nakua nshashiba ani. Nawaza kutumia...
16 Reactions
175 Replies
6K Views
Wadau, Naomba tujuzane pafyumu nzuri za wanawake na wanaume ukiweka na bei itakuwa poa sana.
0 Reactions
136 Replies
61K Views
Wasalam.. kama head inavo jieleza maalum kwa perfume ,fragrance,body sprays na manukato aina zote kwa kuanza kabisa naweka hizi chache kama kuna zingine sizijui tujuzane #victorious silver (men)...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Leo nahmn nmeikumbuka zamani, Nimeyakumbuka maisha ya zamani, Japo naonekana mshamba mbele ya kadamnasi ila nmeitamani zamani. Nimetamani kuyaishi maisha yale Zamani akina mama walivaa nguo ya...
5 Reactions
12 Replies
612 Views
Kuna mitindo mbalimbali ya unyoaji wa nywele za kichwani. Kuna panki, kipara, mtindo wa nywele saizi ya brashi, kuna mtindo wa nywele za kuota (low cut) nk Tuambie wewe huwa unanyoa mtindo gani...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Salaam! Ni njia zipi unatumia kulinda usafi wa kinywa chako na kufanya mdomo usitoe harufu. Kuna kuswaki kila baada ya mlo lakini wakuu imagine unaswaki asubuhi na jioni during day ila tambua...
8 Reactions
146 Replies
10K Views
  • Redirect
Hello naomba kufahaam dawa ya upele baada ya kunyoa ndevu au ndevu zikianza kuota .. maana napata shida sana.
1 Reactions
Replies
Views
Wakuu Nywele zangu ni waved lakini kidogo sana naombeni njia ya kutengeneza matuta makubwa kwenye nywele.
1 Reactions
5 Replies
290 Views
Nasikitika sana kuona hakuna udhibiti wa bidhaa feki hasa kwenye bidhaa za mwilini, bidhaa halisi na bora zinapotezea sokoni badala yake bidhaa feki zimetawala soko la nchi. Miaka nenda rudi haya...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Yaani natumika sana na watu wanaokuwa na ukaribu na mimi wakihitaji msaada wa kifedha au kihisia Kwa sasa naweza sema ukiacha ndugu zangu, watu wote waliobaki wana ji attach kwangu tuu wakiwa na...
11 Reactions
22 Replies
2K Views
Asilimia kubwa ya vitu vingi tunavyovitumia inasemekana vina madhara.Nasikia hadi soda eti zina madhara pengine kuliko hata baadhi ya pombe. Kwa lengo la kuwasaidia watanzania wenzetu,pombe ipi...
0 Reactions
2 Replies
228 Views
Ufugaji wa ndevu ninaamini tuliuanza miaka kadhaa. Kabla yetu walifuga wazee wetu. Nimeamua kukata na kuwa na kidecu na mdogo kama uch.i wa mbuzi. Kunyoa ndevu zote kunafanya unakuwa sura kama ya...
2 Reactions
11 Replies
703 Views
Back
Top Bottom