Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Njegere Ni chakula cha kawaida kabisa kwa watanzania wengi. njegere hizi hutumika kwa milo tofauti ya siku ukipenda Njegere zina namna tofauti pia hata katika mapishi yake na hii ni moja ya namna...
8 Reactions
7 Replies
8K Views
Leo tuzungumzie kuhusu vinywaji vya asili, yaani vinywaji vilivyotokana na mimea na wanyama, mfano miwa, madafu, matunda mbalimbali na maziwa pia. Inashauriwa kunywa maji kwa wingi si chini ya...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Jinsi ya kupika keki ya ndizi na chocolate chips Jaribu mapishi yafuatayo na ufurahie na familia na marafiki wako Keki ya Ndizi ikiwa na vipande vidogo vya chokoleti (chocolate chip) Viungo...
0 Reactions
1 Replies
13K Views
Ukimarinate nyama au samaki kwa viungo( vitunguu saum, tangawizi, masala) ongeza mafuta kidogo na mtindi vijiko viwili inalainika na kunoga Ukikosa vanila unaweza saga Ganda la limao bichi...
13 Reactions
15 Replies
9K Views
Kwa wapenzi wa nyama ya nguruwe, ktk kutafuta kitimoto kwa muda mrefu sasa nimegundua kuwa sehemu nyingi ambapo nguruwe anapikwa ni pachafu mazingira yake hayalidhishi. Hii ni kwa nn? Au kuna...
0 Reactions
113 Replies
16K Views
Habari ya leo wadau wa jinsi ya kupika. Karibuni tena jikoni tuandaeandae vitu vizuri, leo ni mchuzi wa kima au mchuzi wa nyama ya kusaga. Ni kitoeleo kizuri cha wali, mkate, chapati na hata...
3 Reactions
6 Replies
10K Views
Jinsi ya kutengeneza Kalimati ya maharage: Maharage yanatumika katika mapishi aina nyingi sana, Leo tutapika kalimati kwa kutumia maharage!. Kaimati hii ni nzuri sana kwani ina maharage yenye...
2 Reactions
4 Replies
5K Views
Baking powder na baking soda zote vinatumika kwa kazi moja ya kuumushia au kuchachua chakula kama mkate, cake, biskuti na baadhi ya vyakula lakini vina tofautiana kikemikali. Baking soda kwa jina...
7 Reactions
8 Replies
33K Views
SEMI RICE PANCAKES / VILOSA : Mahitaji : Mchele 1/2 Kikombe Unga wa semolina kikombe 1 Tui la nazi 3/4 Kikombe Maziwa fresh 1/2 Kikombe Mayai 3 Hamira 1 kijiko cha chai kijae Rose essence...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu Chefs Nahitaji msaada wa Maelezo mazuri kabisaaa juu ya namna bora ya Kutengeneza Mtindi Fresh wenye mbwembwe na Madikodiko kibao yaan ue bora zaidi ya Mtindi wa Tanga Fresh au Youghut...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
nataka mwanaume anaejua kupika
3 Reactions
70 Replies
6K Views
  • Redirect
Husika na mada tajwa hapo juu nimeamua kuanzisha biashara ya popcorn baada ya kuona mahali nilipo hakuna mtu anayejishughurisha na biashara hiyo Shida yangu kubwa kupata ujuzi jinsi ya...
0 Reactions
Replies
Views
unga lishe ni unga kwaajili ya chakula ulio na mchanganyiko wa viini lishe vyote muhimu. mara nyingi unga huu hutumiwa kuandalia uji .wakati mwingine utengenezaji wa unga huu huzingatia walengwa...
3 Reactions
4 Replies
15K Views
Wakuu karibuni hapa ni self service.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habarini Wakuu , naomba kwa anaejua utaalam wa mapishi ya vibama vya ndizi anifundishe .. Nasubiri mrejesho toka kwenye wataalam
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Ukitaka samaki awe na ladha nzuri basi fuata maelekezo. baada ya kumsafisha na kumtengeza samaki wako. chukua viungo vifuatavyo: 1.Kitunguu swaum 2.pilipili Manga 3.Binzari Nyembamba menya...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Mahitaji 1.Viazi mbatata kilo 1 2. Mabamia fungu 1 kubwa 3. Mabiringanya makubwa 2 4. Karoti 5. Mafuta ya kupikia 6. Nyanya 7.Vituungu maji 2 8. Swaumu 9. Ndimu 10. Chumvi Jinsi ya kupika 1...
3 Reactions
32 Replies
15K Views
Mahitaji 1)Samaki mkubwa... 2)nyanya 2.. 3)kitunguu thomu 1 teaspoon.. 4)tangawizi 1 teaspoon 5)bizari ya njano kiasi 6)bizari ya pilau 1 teaspoon... 7)ndimu 2... 8)kitunguu maji 1.. 9)chumvi...
22 Reactions
85 Replies
20K Views
Habari za jioni fellow chefs. Naomba tutumie thread hii kujuzana ingredients zinazotutatiza. Kama una picha sio mbaya kuambatanisha katika ufafanuzi. Mfano kuna vyakula ambavyo hujui Kiswahili...
1 Reactions
25 Replies
49K Views
Mishkaki Ya Nyama Mahitaji: Nyama steki...............4 Ratili (2 Kilo) Mafuta........................3 Vijiko vya supu Masala ya Kurowekea Nyama: Kitunguu saumu/thomu na tangawizi...
6 Reactions
16 Replies
20K Views
Back
Top Bottom