Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
  • Sticky
Habari zenu Leo nimeona ni vyema wana jikoni na wazazi tujadili na tubadilishane mawazo kuhusu lishe za watoto wetu kuanzia umri wa miezi 6 hadi mwaka..... Nini madhumuni hasa 1)kwa wale...
30 Reactions
338 Replies
269K Views
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
64 Reactions
33K Replies
2M Views
Tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo kinapika kitimoto chenye Quality yaani ukigusa utatamani kesho uje tena? Kama mnavyojua Utamu wa kitimoto upate na ugari au Ndizi za...
50 Reactions
1K Replies
117K Views
Kwa hakika kama kuna mtu kati yetu asubuhi ya leo kala tunda lolote lile basi ni wale waliolala zile hotel zenye bed n breakfast full course. Wengine wetu kwa uchache mno ni wale wafanya diet na...
39 Reactions
983 Replies
49K Views
Vipimo Unga wa ngano mweupe ................... 1 Kilo Samli .............................................. 150gm Chumvi ............................................3 vya chai...
14 Reactions
657 Replies
314K Views
Mambo vipi wanaJF natumai mko poa. Kwenye misosi kuna kuwa na kile chakula una hamu nacho au tu umekuta sehemu kimepikwa kwasababu hujawahi kula unaamua kula huo msosi kwa mara ya kwanza lakini...
16 Reactions
636 Replies
57K Views
Nina imani mabachela tuko wengi sana humu. Katika suala la kupika na kuosha vyombo huwa ni habari ingine. Vipi wewe mkuu ni msosi gani kuupika au kuuandaa huwa unakupa mawazo sana japo...
22 Reactions
582 Replies
54K Views
Wanasema kupanga ni Kama kuichungulia kesho yako. Nami Kama mwana harakati katika utafutaji nikajiwazia mengi leo. Ni chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa bilionea?
18 Reactions
470 Replies
10K Views
Haya jamani leo ni siku nyingine ambayo ninataka tupike mkate kwaajili ya familia. Mkate ni chakula ambacho huliwa wakati wa kufungua kinywa.hupikwa kwa kutumia unga wa ngano ama wa muhogo lakin...
16 Reactions
435 Replies
172K Views
  • Redirect
Habari jf chefs,ninatatzo moja kila nikipika chapati za kusukuma zinakua ngumu nawakati mwingne znakatikakatika nataman nipike chapati yani ukiiweka mdomoni ufurah mwenyewe.plz nsaidieni...
5 Reactions
Replies
Views
Nafikiri mkopoa kabisa Naomba ku share na nyie recipe nzuri ya kupika ndizi mzuzu Kwa wale wasiopenda rost na wengine wanaopenda kula chakula Cha tofauti na hakichukui mda kuandaa Mahitaji Ndizi...
34 Reactions
402 Replies
10K Views
Nimepiga plan ya kusimplify mambo hapa mjini nikaamua kwamba! kila weekend especially Jumapili ni mwendo wa kande tu..kwanza na minimize cost. Nitanunua..Maharage nusu Njugu Nusu...
0 Reactions
386 Replies
86K Views
Hatua kwa hatua jinsi ya kupika mboga aina ya kabichi Mahitaji Kabichi 1/2 kilo Nyanya ya kopo 1/2 Kitunguu 1 Curry powder 1/2 kijiko cha chai Chumvi Olive oil Matayarisho Kwanza kabisa...
41 Reactions
354 Replies
56K Views
Wakuu naishi Dar nataka kununua gesi kwaajili ya matumizi ya nyumbani kwaajili ya kupikia. Je? Ni gesi aina gani ni nzuri hapa na maana ni kampuni gani hutoa Huduma ya uhakika. Kati ya ORXY lake...
0 Reactions
353 Replies
74K Views
Leo nina ugeni wa member mmoja maarufu hapa CHIT-CHAT na MMU nimeamua kumtengenezea mbuzi katoliki(kavu) na mazaga mengine. Maandalizi >Nyama kg 2 >Ndizi mzuzu >Mchicha >Tangawizi ,kitunguu...
10 Reactions
340 Replies
19K Views
Habarini Wakuu. Leo nataka tupeane mawili matatu ya namna ya kupika kwa kutumia nazi hapa haijalishi nazi iwe ni ile ya kukuna mwenyewe au zile zinazouzwa madukani. - Je unaandaa tui lako katika...
26 Reactions
331 Replies
24K Views
Mimi ni Mkristo! Katika kusafiri safiri kwangu mikoani, nimegundua migahawa mingi iliyopo kanda ambazo zina wakristo wengi kama Mwanza, Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa n.k. huwa na chakula...
29 Reactions
315 Replies
40K Views
Kuna wana wangu wamekuja kunitembelea leo hapa gheto sasa hivi nipo natengeneza kitu, Jikoni leo Usibanduke kwenye Uzi Update kwa picha mpaka natoa Kitu kinawekwa mezani kuliwa, 1: Maandalizi...
17 Reactions
308 Replies
29K Views
Heshima kwenu wakuu, Nmegundua kumbe kutengeneza chapati simple sana. Nimetengeneza chapati sikutegemea kama zitakua tamu hivi. Yaani ni tamu balaa.. Nikimpikia mgeni itabidi nimwambie awe makini...
2 Reactions
279 Replies
17K Views
Katika vyakula ambavyo huwa sivishobokei ni Ugali mimi siupendi kabisa yaani sina stim nao kabisa. Sazingine huwa nakula tu ndo wife au beki3 kaandaa lakini kiukweli ugali sio chakula nachokipa...
30 Reactions
278 Replies
8K Views
Back
Top Bottom