Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Wanangu wa JF, kwanza kabla hamjaanza kunihukumu, naomba mjue kwamba leo nimefika hatua ambayo hata mimi mwenyewe nikijitambulisha naweza kujikataa! 😂😂😭
Yaani nimekaa hapa natafakari maisha...
Kuna kitu kimoja nataka watu waelewe kuhusu mimi. Sipendi dharau, na sijawahi kuona umaskini wa mtu kuwa ruhusa ya kumdhalilisha.
Leo sina pesa, sawa. Leo nimelewa, sawa. Lakini msichanganye hali...
Mange Kimambi anaota ndoto za mchana?
Jana, Mange Kimambi alichapisha video akizungumzia uwezekano wa kuibuka kwa vikundi vya uasi nchini Tanzania kama M23.
Ukweli ni kwamba, suala la majaribio...
Umoja wa Ulaya (EU) umerejesha ufikiaji wa msaada wa maendeleo wa Euro milioni 156 (takribani shilingi bilioni 461 za Kitanzania) kwa ajili ya Tanzania. Msaada huu ulikuwa umecheleweshwa...
Tukio la kipekee limewashangaza wengi baada ya video kusambaza ikionyesha mzozo mkali kati ya dereva na afisa wa polisi aliyekuwa ameingia ndani ya gari la dereva huyo bila kufuata taratibu...
Baada ya Kwenda Zanzibar na Kukosa kazi Kisa Usikivu Hafifu 😢, Nikaamua Kurudi Nyumbani Dar es Salaam, Hakuna Rangi Sikuiona Aiseee Masimango, Dharau za kila Aina, ila Nilivumilia tuu, Nikawa...
Mtumiaji wa barabara inayotokea Roundabout ya Kigogo kuelekea mjini kupitia Jangwani na ofisi za Yanga. Barabara hii imeharibika sana, kuanzia Roundabout ya Kigogo kuna mashimo mengi, hali...
1 kenya=a Rich guy who doesn't want to show off
2. South Africa= a kid who had rich parents but now they are dead
3. Nigeria= hustler who want to put something on his table in anyway
4. Morocco=a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.