Kwa heshima kubwa, tunaomba mamlaka husika zifuatilie kwa umakini changamoto tunazopitia sisi madereva wa Bolt katika eneo la Airport Terminal, Julius Nyerere International Airport (JNIA).
Kwa...
Wakuu, kuna jambo kuhusu lugha ya Kiswahili limekuwa likinifanya nifikirie kwa kina.
Nakumbuka nikiwa shule ya msingi, mwalimu wetu aliwahi kumsahihisha mwanafunzi mwenzetu aliyesema, “Nionyeshe...
Baada ya kusubiri sana, zaidi ya miaka Tisa, hatimaye Tesla wametuletea Roadster 2, ambayo mbali na sifa kibao, Ina uwezo wa Kupaa.
Kwa kutumia compressed air thrusters, kutoka SpaceX technology...
Kuna kitu kinanipa wasi wasi sana, nina miaka 29 na ni naona dalili za kuja kuwa na uwalaza yaani(kipara au wanga)
Je, kuna njia yoyote ya kusaidia kuotesha nywele au nifanye njia gani kuepuka...
Kimsingi, Tanzania haina namba za usajili zenye herufi O.
Ni ajabu kuona gari hili linatembea jijini Dar na hakuna wa kuligusa. Bado mnaamini tunafuata utawala wa sheria? Au the so called “hakuna...
Siku ya 33 nasoma hii Biblia, lakini kila nikiendelea mbele ndio kwanza nachanganyikiwa na madudu yaliyomo humu! Wakristo wote mnasema hiki kitabu kimeandikwa na watu waliyovuviwa Roho Mtakatifu...
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, leo Oktoba 15, 2026, amezungumza na waandishi wa habari na kueleza kuwa maelezo na maagizo yaliyotolewa na Jumuiya ya Madola, AU...
Mwanadada Flora Shija ambaye ni msomi wa Sheria amefunguka kupitia Nuru FM huku akichambua kuhusu maswali mengi ambayo wengi huwa wanajiuliza endapo mwanamke akikukuta na Mali zote je siku...
Zimebaki siku chache sana mwaka 2026 uishe je umefanya nini cha maana ukikitazama unajivunia na kufurahia?
mimi binafsi plan zangu zimetimia kwa at least 30%
#Welcome 2027
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.