Nimetafakari juu ya ulinzi binafsi wa viongozi wetu, hasa wabkitaifa.
Ukiona kiongonzi ana mpambe au mmlinzi au mtu yeyote nyuma yake, basi ujue hayuko huru.
Huyo ni mateka wa system ambao iko...
“A cornered animal is the most dangerous.”
Tangu Oktoba 29, 2025, Bi Kobe amekuwa akiishi katika hali ya mashaka na hofu kubwa. Chuki inayoongezeka miongoni mwa wananchi dhidi ya serikali yake...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Richmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA.
Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 .
Blaza alipochomoka jamaa...
Kuna kipindi kwenye maisha unakaa kimya na kujiuliza, “Hivi kweli nilifikaje hapa nilipo?”
Wengine wanaona tabasamu lako na kudhani kila kitu kiko sawa. Hawajui ni vita vingapi umepitia kimya...
Mshindi wa nafasi ya U-Raisi anapata kura asili mia 98, toka kwa waTanzania milioni 31 waliojitokeza kupiga kura. Sijui hiyo asili mia mbili ilipotelea wapi. Inawezekana ni kura zilizoharibika...
Nimejaribu sana kufuatilia PHD za US na Maprof wao..
Aisee watu wanapigika sana paper zao kuwa published ktk journals za kueleweka. Watu wote wanapigika hadi wanaonyesha kiwango na weledi ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.