DOKEZO Uozo Halmashauri ya Wilaya Itigi: Mbunge amelala, Mwenyekiti wa Halmashauri anafanya ubadhirifu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
JIMBO LA ITIGI LIMEOZA JAMANI:

ORODHA YA MIRADI AMBAYO ILITOLEWA FEDHA NA SERIKALI NA BADO HAIJAKAMILIKA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI MKOA WA SINGIDA.

Huyu Mwenyekiti wa Halmashauri Husein Simba anabaki kuoa wanawake kila siku na kula hela za miradi tu. Hebu ona hii aibu Mama SAMIA katoa hela lakini hadi leo imekwama. Mbunge naye babu Masare aka Magogo kama amenyweshwa uji wa mgonjwaa. Itigi tuna shida sanaa jamani hebu Serikali ituangalie huku. Mwenyekiti wa Chama Wilaya kutwa kumsifia Simba kuwa atakaye mgusa Simba amemgusa yeye au wanakula wote. Mbunge hakuna kitu hapo hajali watu wake na anasema anasubiri mwakani agawe helaaa tu.

(1).KATA YA MWAMAGEMBE.

Shule ya Msingi Makulu Mradi ya Uviko 19-Vyumba 8 vya Madarasa toka Msimu wa Mwaka 2021/22 Mpaka leo vyumba vya Madarasa havijakamilika!.Hawa walipewa Million 160.

Shule ya Msingi Wila Mradi wa Uviko 19 Vyumba vya Madarasa 7 toka Msimu wa Mwaka 2021/22 Mpaka leo vyumba vya madarasa havijakamilika.Hawa walipewa Shilingi Million 140.

Shule ya Msingi Ngilimalole Mradi wa Uviko 19 vyumba 7 vya Madarasa toka Msimu wa Mwaka 2021/22 Mpaka leo vyumba vya Madarasa havijakamilika.Hawa walipewa Shilingi Million 140.

Shule ya Msingi Mikese Mradi wa Uviko 19-Vyumba vya Madarasa 7 toka Mwaka 2021/22 Mpaka leo vyumba vya Madarasa havijakamilika.Hawa walipewa Shilingi Million 140.

(2).KATA YA KALANGALI

Shule ya Msingi Mnazi Mradi wa Uviko 19-Vyumba vya Madarasa 8 toka Msimu wa Mwaka 2021/22 Mpaka leo vyumba vya Madarasa havijakamilika.Hawa walipewa Shilingi Million 160.

(3).KATA YA MITUNDU
Shilingi Milioni 10 zilizotolewa Kwa ajili ya Ujenzi wa Mnada Mpya kijiji cha Mtakuja zilipigwa mnada ukajengwa kwa kutumia Makuti ya Miti.Mnada wa Mifugo umejengewa Ringi la Miti ambayo hata thamani ya Shilingi laki 5 haifiki.

Simba ndo amefanya ubadhilifu huo wakiwa na Mkurugenzi DED MGALULA aliyehamishiwa Halmashauri ya Kilindi Mkoa wa Tanga. Huku wanapata nguvu ya Chama Wilaya wasiguswa.
 
Yaani. Ghafla mtu anatokea anasema "CHADEMA hawana shukurani" kwa nini wanamkosoa Rais Samia Suluhu Hassan!?
 
Unaweza kukuta mleta Mada analeta fitina ofisi za serikali kuna fitina sana....Jf muwe mnaleta habari za pande zote mbili
 
Kama wapo wafike Halmashauri ya itigi, Kuna uozo mkubwa.

Mkurugenzi wa itigi, na wakuu wote wa idara, wanatakiwa wawe jela muda huu.

Wizi kwenye miradi ya Halmashauri, wafike tutawapa ushirikiano.

DC, DED, TISS wote wa Itigi, wanachota tu.
 
Huyo mbunge magogo ni wa kupumzishwa kachoka. Jimbo la Manyoni magharibi halijawahi kupata mbunge mahiri kwa kuliletea maendeleo
 
Back
Top Bottom