Katika jitihada za kuongeza ajira kwa kundi kubwa la vijana wanao hitimu elimu ya vyuo vikuu, tunaishauri Serikali kupitia wizara husika kurekebisha umri wa kustaafu watumishi wa umma uwe miaka 50 badala ya miaka 55.
Kwa sasa mtumishi anastaafu kwa mujibu wa sheria miaka 55 na wengine hadi 65!! hawa wazee ndio wanazuia nafasi za vijana kuajiriwa.
sheria zirekebishwe.umri wa kustaau uwe miaka 50.
Naamini wizara ya Simbachaweni italichukua wazo hili na kulifanyia kazi.
Pamoja na jitihada nzuri zilizo fanywa na wizara ya Elimu kuboresha mitaala na kuongeza tahasusi za ujasiriamali, pia wizara ya Utumishi inapaswa ifanye kitu ili kuondo ama kupunguza tatizo la ajira.
Nawasilisha