Piga picha tuone hali ilivyo mbaya mkuuNaomba kuwapa taarifa kuwa kuna ukuta wa kiwanda cha SIMTANK kilichopo maeneo ya Tabata TIOT kinachopakana na Asas.
Ukuta huu huenda ukaanguka muda wowote hivyo msisubiri ukuta huu ulete maafa ndio muanze kumtafuta mchawi.