Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Mhe. Makonda angekuwa waziri angewasaidia wananchi wengi, tatizo yupo Mkoa wa Arusha tu, je sisi tulio nje ya mkoa huo tunapataje msaada wake?
Tunamuomba Mhe. RAIS aangalie namna yoyote ile Makonda awe waziri asiye na wizara maalum ili aweze kushughulikia kero za wananchi wote.
 
mzee ramadhan ni mtaalam wa nyota biashara mali bira kafara mausiano cheo nk 0742757243
Screenshot_20240526_075054_Gallery.jpg
 
Ni yey pekee anaoneka Yuko serious ktk shida za raia tofauti na wengine

Kila maahali anako kwenda anapokelewa na maelfu ya raia wenye shauku ya kumuona na kumlilia awatatulie shida zao

Nikiwa rais namteu awe waziri mkuu
Kwasasa kiongozi ni mmoja tu "Makonda". Wengine wote ni wezi! Hizo nafasi na ofisi walimokaa walienda kuloga kwa mashetani na mizimu hivyo wapo kutimiza masharti ya mashetani! Wizi! Dhuruma! Ufisadi! Ukabila! Majivuno na majisifu
 
Ni yey pekee anaoneka Yuko serious ktk shida za raia tofauti na wengine

Kila maahali anako kwenda anapokelewa na maelfu ya raia wenye shauku ya kumuona na kumlilia awatatulie shida zao

Nikiwa rais namteu awe waziri mkuu
Makonda no role model kiutendaji kwa vijana wengi kama sisi!

Hizo tuhuma zinazozagaa tuiachie system ndio inajua kama ni utashi wake au wa system!!

Hasta mimi Leo nikiwa kwenye position yake sikai ofisini ni mtaaa iwa mtaa hadi kieleweke!

Huo ndio uanaume na ndio tafsiri halisi ya kiongozi sio kukaa ofisini Bali Toka nenda katatue kero!!
 
A
Ni yey pekee anaoneka Yuko serious ktk shida za raia tofauti na wengine

Kila maahali anako kwenda anapokelewa na maelfu ya raia wenye shauku ya kumuona na kumlilia awatatulie shida zao

Nikiwa rais namteu awe waziri mkuu
Anachokifanya, hakina maana Sana, maana Mambo mengi anayokutana nayo yamesababishwa na taasisi zilizopo, MTU kazulumiwa ardhi,kaenda mahakamani, hakimu kahongwa, akakosa haki yake,shida kama hii huwezi, kuitatua kwenye moutqno wa hadhara! Kwa ufupi anapnyesha failure ya mifumo ya Samia,
 
Ni yey pekee anaoneka Yuko serious ktk shida za raia tofauti na wengine

Kila maahali anako kwenda anapokelewa na maelfu ya raia wenye shauku ya kumuona na kumlilia awatatulie shida zao

Nikiwa rais namteu awe waziri mkuu
Mteue awe waziri mkuu wa familia yako inatosha kabisa.
 
Shida yake anataka kufanya kazi na live media...na kupigiwa makofi. Ila ni kweli kuna mambo anajitahidi kufanya tofauti.
Wengi wamekaa maofisini kula na kuvimbiwa tu. Sio kutumikia umma wa watanzania
Sawa ata akifanya na media ila kazi si inaonekana ...
Arusha ilipoa amekwenda huko mkoa umechangamka sana sahivi.
 
Back
Top Bottom