Mnaodai Tanganyika mna damu ya utumwa na kuhusudu ukoloni

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,257
5,984
1715010855844.png
 
Tundulisu kuwafanya Hawa punguani watapetape.zanzibar wako huru lakini punguani hawataki Tanganyika iwe huru

Delegates who attended the Berlin conference in 1884-1885 responsible for the partition of the African continent among the western powers of the
time.
Wewe na Lissu tuonyesheni babu zenu kwenye hiyo picha ya wajumbe waliotengeneza Tanganyika
 

Attachments

  • 1715073482869.png
    1715073482869.png
    1.3 MB · Views: 1
Tumia akili zako mkuu- usiendeshwe
Hicho kizazi Cha kuchomekewa miungano isiyo na kichwa Wala miguu kilishapita. Ccm wameshapoteza ushawishi kwa umma, kilichobaki ni kupora chaguzi za nchi Ili iendelee kukaa madarakani kwa shuruti. Matokeo yake ndio haya mnatetea kitu ambacho hamna hoja za kuulinda, na kizazi hakiwaelewi kabisa.
 
Mjinga anajitokeza huko anakwambia ukidai nchi yako eti unakuwa mtumwa...zenji walivyodai nchi yao,bendera yao,serikali Yao sio watumwa!!
Muungano ni wanchi mbili LAKINI moja ipo ukitaka kuijua yapili tunaambiwa upuuzwe huu uzuzu ni wawapi??
Propaganda haitosaidia kitu Tanganyika inapaswa kurudi na kujisimamia mambo yake yenyewe hatuwezi kuwa na Marais wawili Toka nchi moja.
Leo mkuu wa mkoa anashkuru raia wa Zanzibar eti amempa Hela za kujenga zahanati...kama Hela anatoa yeye ningapi atapeleka kwao kujenga nyumbani kwao? Ndomana shule aliyosomaga primary imerembwa mpaka na feni darasani wakati hukukwetu kunashule walimu na wanafunzi wanajisaidia machakani.
Hii nchi kunavijitu vipumbafu saana!! Tunataka serikali tatuuu
 
Back
Top Bottom