DOKEZO Kaimu Afisa utumishi Halmashauri ya wilaya ya Mwanga ameshindwa kusimamia maslahi ya watumishi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
13,078
21,833
Watumishi wa umma Kwa umoja wenu ninawasalimu na kuwaomba msome ujumbe huu,wenye kilio cha Afisa utumishi Halmashauri ya Mwanga.

Mh Waziri uliyeaminiwa na Mh Rais Samia suluhu Hassani, tunakuomba , ufahamu, kumtambua na kumuondoa huyu kaimu Afisa utumishi wa hiyo Halmashauri.

Suala la haki, usawa, na kusimamia maslahi ya mtumishi halipo kwake limepitwa na WAKATI.

Kuficha mafaili ya watumishi yeye amesomea kazi hiyo na haambiliki Wala haelewi, anasema anaripoti juu kwa juu.

Uongozi wa DED aliyeondoka ulimfanya Afisa utumishi huyu kuwa mungu mtu na amefikia mahali sasa anatisha watumishi kuwa anao uwezo wa kuwafukuza kazi bila mamlaka husika kumfanyia chochote.

Hali ya watumishi wa Halmashauri, wanaishi kama swala wa porini na hawana amani, hawajui walalamikie wapi, na Wala hawajui kesho Yao.

Mh waziri, tunakuomba uje tuondoke na Afisa utumishi huyu.

Alikotekea akaletwa Mwanga anayejua aliyokuwa matendo na tabia ya kutukana na kufokea watumishi wa umma alikuwa nao.

Kuna kila dalili Afisa utumishi huyu anatumiwa na vyama pinzani kudhalilisha watumishi wa umma, ili waichukie serikali yao.
 
Attachments

  • VID-20240411-WA0018.mp4
    16.8 MB
Polen sana, ipo haha rais SAMIA wizara ya utumishi ampe makonda hata wiki tu uone Kila kitu kitakaa sawa, uhamisho I shida, madaraja yapo zigzag, wanyama anamzid wa mbele hii aibu mpe makonda ni wiki tu
 
Watumishi wa umma Kwa umoja wenu ninawasalimu na kuwaomba msome ujumbe huu,wenye kilio cha Afisa utumishi Halmashauri ya Mwanga.

Mh Waziri uliyeaminiwa na Mh Rais Samia suluhu Hassani, tunakuomba , ufahamu, kumtambua na kumuondoa huyu kaimu Afisa utumishi wa hiyo Halmashauri.

Suala la haki, usawa, na kusimamia maslahi ya mtumishi halipo kwake limepitwa na WAKATI.

Kuficha mafaili ya watumishi yeye amesomea kazi hiyo na haambiliki Wala haelewi, anasema anaripoti juu kwa juu.

Uongozi wa DED aliyeondoka ulimfanya Afisa utumishi huyu kuwa mungu mtu na amefikia mahali sasa anatisha watumishi kuwa anao uwezo wa kuwafukuza kazi bila mamlaka husika kumfanyia chochote.

Hali ya watumishi wa Halmashauri, wanaishi kama swala wa porini na hawana amani, hawajui walalamikie wapi, na Wala hawajui kesho Yao.

Mh waziri, tunakuomba uje tuondoke na Afisa utumishi huyu.

Alikotekea akaletwa Mwanga anayejua aliyokuwa matendo na tabia ya kutukana na kufokea watumishi wa umma alikuwa nao.

Kuna kila dalili Afisa utumishi huyu anatumiwa na vyama pinzani kudhalilisha watumishi wa umma, ili waichukie serikali yao.
Ni nani huyo? Kuna bwana mwingine pale anaitwa Diallo ni balaa, mdhulumati, muonevu, mlarushwa na kila aina ya sifa mbaya kwa mtumishi wa umma anayo.

Ananyanyasa sana wavuvi, wachimba mchanga na hata wakandarasi kwa kuwabambika mafaini makubwa makubwa
 
Post imekaa kimajungu majungu! kama ana maovu hakuna haja ya kutoa na maelekezo waje waondoke nae! ilitakiwa ushuke tu maovu yake yote! halafu tusikilizie mamlaka zake za uteuzi zitachukua hatua gani! lkn sio kwa mtoa post kutoa na maelekezo.
 
Watumishi wa umma Kwa umoja wenu ninawasalimu na kuwaomba msome ujumbe huu,wenye kilio cha Afisa utumishi Halmashauri ya Mwanga.

Mh Waziri uliyeaminiwa na Mh Rais Samia suluhu Hassani, tunakuomba , ufahamu, kumtambua na kumuondoa huyu kaimu Afisa utumishi wa hiyo Halmashauri.

Suala la haki, usawa, na kusimamia maslahi ya mtumishi halipo kwake limepitwa na WAKATI.

Kuficha mafaili ya watumishi yeye amesomea kazi hiyo na haambiliki Wala haelewi, anasema anaripoti juu kwa juu.

Uongozi wa DED aliyeondoka ulimfanya Afisa utumishi huyu kuwa mungu mtu na amefikia mahali sasa anatisha watumishi kuwa anao uwezo wa kuwafukuza kazi bila mamlaka husika kumfanyia chochote.

Hali ya watumishi wa Halmashauri, wanaishi kama swala wa porini na hawana amani, hawajui walalamikie wapi, na Wala hawajui kesho Yao.

Mh waziri, tunakuomba uje tuondoke na Afisa utumishi huyu.

Alikotekea akaletwa Mwanga anayejua aliyokuwa matendo na tabia ya kutukana na kufokea watumishi wa umma alikuwa nao.

Kuna kila dalili Afisa utumishi huyu anatumiwa na vyama pinzani kudhalilisha watumishi wa umma, ili waichukie serikali yao.
Maafisa Utumishi wengi wapo hivi, hususani kwenye hizi Ofisi za Halmashauri za Wilaya na miji
 
Back
Top Bottom