Mzee Akilimali alivua kofia Yanga ikapigwa 5....kesho yake watu wakaipiga ile kofia..Yanga akapoteza mchezo...watu wakairejesha kofia...Yanga akaanza kupata ushindi...connect the dot.Uvivu tu kufanya kazi hakuna wa kukuroga wala kukufunga.... fanya tu kazi kwa bidii na saidia wenye shida utatusua
Kweni kuna haja ya kito si kachukue kadi tu.Haha Mimi nyota yangu ni simba..navaa kito gani?
Hello Rakims...ninaweza kukupata kwa simu?Shida IPI mkuu?
acha utoto!Hivi wachawi wanaweza kumloga MTU kama Kikwete,Mkapa,Dr Shein ,Trump,Bakhressa,au Mzee Mengi,vipi kuhusu Diamond Platinum,?
Acha utapeli,acha watu wafanye kazi,hakuna uchawi,hali yoyote inayomkumba binadamu,inaelezeka kisayansi,
Mlogeni Maghufuri,si amesababisha vyuma kukaza
hizo aina sizijui hebu generelize maana ya red tu kiujumla ikiwa inawezekana.inategemea na aina ya nyekundu kuna red saphire,carnerian,red garnet,citrine,ruby,rubelity,andecine,beads,rhodonight na mengineyo sasa inategemea unaongelea jekundu lipi kati ya hayo
rakims
Mkuu nyota za kweli ni nyota za jina uliopewa na wazazi pamoja na jina la mama hizi za tar zimewekwa tu in general lakini hazifanyikazi kama hizo za kuzaliwa nazoMkuu Rakims nyota yangu ni ndoo pete ya rangi gani inanifaa na ni nguo za rangi gani zenye bahati kwangu?