Dkt. Tulia Ackson azidi kusambaza upendo Mbeya

Mwanongwa

Senior Member
Feb 15, 2023
170
205
Diwani wa kata ya majengo jijini Mbeya ,Maulid Jamadary amemshukuru Dr Tulia Ackson mbunge wa Mbeya mjini na Spika wa bunge la JMT kwa msaada wa kiti mwendo (wheelchair ) na Bima ya afya kwa Elizabeth Mbewe ambaye ni mkazi wa kata ya Majengo .

Elizabeth amekuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.

Akitoa shukrani hizo Maulid Jamadary amemuomba Mbunge huyo kuendelea kuwafikia wahitaji mbalimbali ili kutatua changamoto wanakumbana nazo.

"Namshukuru sana Mbunge wangu na Mwenyezi Mungu ambariki sana na aendelee kumlinda na kumpa umri mrefu ili aweze kuwasaidia watu wengi zaidi wenye mahitaji".
IMG-20240311-WA0094.jpg
 
Back
Top Bottom