I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,778
- 10,148
Cloud seeding ni aina ya maboresho ya hali ya hewa yenye dhumuni la kubadilisha kiasi au aina ya mvua, kupunguza mvua za mawe au utawanywaji wa ukungu. Ila Mara nyingi lengo huwa ni kuongeza uwezekano wa unyeshaji wa mvua au kuangushaji wa snow, ama kwa namna nyingine njia hii hutumika kuzuia mvua kunyeesha kwa siku fulani fulani za mbeleni.
Mvua bandia = mafuriko bandia.
Mvua bandia = mafuriko bandia.