Taarifa iwafikie Idala ya Maji safi na maji taka mkoa wa Mbeya.
Hivi huwa mnautaratibu wa kukagua chemba za maji taka hapa jijini maana mji mzima umekuwa ukinuka harufu ya maji taka.
Mwanzo ilikuwa chemba ya pale Sabasaba karibu na ofisi za CCM, ilikuwa ikivujisha maji taka kwa muda mrefu sana...
Mashindano ya Mpira wa Miguu Tulia Trust Uyole Cup 2024 yanayofanyika katika Uwanja wa Mwawinji Uyole ya Kati Mbeya Mjini.
Mashindano haya Yanashirikisha Timu 32 ambazo zimepewa Vifaa vya Michezo (Jezi) Kwaajili ya Mashindano hayo.
*ZAWADI
•Bingwa Tsh.5,000,000/=
•Mshindi wa 2...
Mnamo tarehe 8/04/2024 Majira ya saa 2 Usiku katika Kata ya Iyela Wilaya ya Mbeya Mjini inasadikika Mkurugenzi wa Kampuni ya City Casino raia wa Burgalia anayeitwa Vasil Dosev Dimitrov, alimchukua kwa nguvu mfanyakazi wake wa kike jina linahifadhiwa na kwenda kumfanyia ukatili wa Kijinsia na...
Kituo cha kulea vipaji cha Rungwe youth sports center kilichopo wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya kimeingia mkataba na klabu ya @azamfcofficial kwaajili ya kulea Vijana wnye vipaji ambao baadae watakuja kusajiliwa na timu hiyo pamoja na timu zingine hapa nchini na nje ya nchi.
Mkataba huo...
Diwani wa kata ya majengo jijini Mbeya ,Maulid Jamadary amemshukuru Dr Tulia Ackson mbunge wa Mbeya mjini na Spika wa bunge la JMT kwa msaada wa kiti mwendo (wheelchair ) na Bima ya afya kwa Elizabeth Mbewe ambaye ni mkazi wa kata ya Majengo .
Elizabeth amekuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda...
Wafanyakazi wa TRA ofisi za Sido & Mwanjelwa mnakera sana wateja wenu.
Watu tumeacha shughuli zetu ili tuje tulipe hizo kodi mnazozihitaji lakini huduma zenu zimekuwa mbovu sana.
Wahudumu wachache na pia hao watoto mliyowaleta kwaajili ya Field embu jaribuni kuwaelimisha namna ya kuwahudumia...
Mwalimu mmoja anayefahamika kwa jina la Yusuph wa shule ya Msingi ZIGA ya mchepuo wa kingereza iliyopo katika mji wa Makambako wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe,anatuhumiwa na wazazi kwa kukataa kusahihisha madaftari ya wanafunzi ambayo hayana Nembo ya Shule hiyo.
Wazazi hao wamesema kuwa...
Mwalimu mmoja anayefahamika kwa jina la Yusuph wa shule ya Msingi ZIGA ya mchepuo wa kingereza iliyopo katika mji wa Makambako wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe,anatuhumiwa na wazazi kwa kukataa kusahihisha madaftari ya wanafunzi ambayo hayana Nembo ya Shule hiyo.
Wazazi hao wamesema kuwa...
Habari wana jamii,hongereni kwa kuweza kuvuka mwaka salama.
Nina rafiki yangu wa kike anafanya kazi jijini Dodoma ameolewa na jamaa mmoja wa mkoani Mara, mahusiano yao yalikuwa good sana mwanzoni ila baada ya tu ya mwanamke kuzaa watoto wawili jamaa amebadirika sana.
Anamtolea mke wake maneno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.