Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma (82), amezuiwa na Tume Huru ya Uchaguzi ya Afrika Kusini ili asigombea Ubunge wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 29 Mei 2024. Mh. Jacob Zuma alitaka kugombea kupitia uMkhontho weSizwe (MK), chama kipya kilichosajiliwa karibuni kikitumia jina la Jeshi la msituni...
Sina sababu ya kueleza mengi sna kuhusu Elimu na investment kwa kuwa kila mahali yanazungumzwa na kurudiwa rudiwa. Lakini watu wote wanasahau element muhimu sana ya network.
Network ni namna ambavyo unajijenga ndani ya kundi muhimu la marafiki, washirika, alumnus mbalimbali na ata wale wa...
1. Reli ya Kwanza Tanzania Bara - Tanga 1893.
2. Shule ya kwanza ya Sekondari- Tanga 1890 (Tanga Old School).
3. Shule ya Kwanza (Anglikana) Tanzania 1848 - Tanga Magila Muheza.
4. Taasisi ya Kwanza ya Utafiti wa Malaria Duniani - Tanga Muheza, Ubwari 1949.
5. Hospitali ya Kwanza (1st Modern...
(....Usipite bila Kusoma......)
1: Msitu wa Amazon ndio msitu mkubwa zaidi duniani unaopatikana huko America kusini.
2: kama ulifikiri msitu huu unapatikana Brazil pekee jibu ni hapana msitu huu umegawanyika katika nchi tisa nchi hizo ni Blazil 60% peru 13% colombia 10% na mataifa mengine kama...
Fundi huyu maskini alikuwa akichumbiana na msichana huyu mrembo mtandaoni. Siku moja msichana huyo alimwomba amtumie nauli ili aje kumtembelea.
Fundi kijana alishangaa mno. Alidhani msichana huyo atamdanganya. Hakuamini msichana mrembo namna hii angetaka kuja kwake.
Siku mbili baadaye...
Kampuni maarufu duniani ya kusafirisha vufurushi ilianzishwa Mwaka 1969 na vijana watatu ambao walianza biashara ya kupeleka vifurushi mlango kwa mlango katika mji wa Plymouth Duster ya zamani huko Uingereza na taratibu milango isiyo na kifani ikaanza kufunguka!
Adrian Dalsey, Larry Hillblom...
Isikilize clip ya CDF mstaku hafu Gen. Mabeyo lkihusu ushuhuda wake zile saa za mwisho kabla mpendwa wetu hayati hajalala kuzimu mautini. Gen. Mabeyo kuna vipande kaviongea kwa hisia na maumivu makali kiasi cha kushindwa kuzuia machozi.. Imagine mtu kama yeye afikie mahali apate hisia za maumivu...
Kuna taarifa ya ajali barabara ya Msata-Bagamoyo daladala Coaster imegongana na lori imeua watu wote. Tungoje taarifa zaidi.
Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu panapostahili.
======
Watu tisa wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali ya barabarani baada ya basi dogo la...
Kuna nguvu huamua hatima yetu.. Kuna nguvu hutuandalia matokeo tusiyopanga wala tusiyoyataka
Kwa waamini wa kiimani nguvu hiyo huuita Mungu au miungu na kwa wasio waamini nguvu hiyo huuita Asili
Kwamba Mungu, miungu ama Asili ndio vimebeba hatima yetu..! Iwe hasi ama iwe chanya
Ukipanga jambo...
Taifa lenye wakazi waliochanganyikiwa kuliko wagonjwa walioko Lutindi Korogwe Tanga na Mirembe Dodoma.. Na hawa wote kama si viongozi wa kisasa basi ni watu fulani wenye kaumaarufu fulani..
Sasa kama hawa ndio vioo vya Jamii basi wengine wote wana makengeza
Ripoti mbalimbali
Wale wote...
Maslahi ya mada,
1. Mzee Mwinyi alikuwa Mzee sana kiasi cha kutegemewa kufanya maamuzi yoyote! Kwa umri wake alikuwa kama mtoto akifanyiwa kila kitu.
2. Mzee Mwinyi alikuwa na wake wawili. Kama kuna familia za baba na mama mmoja watoto wanatofautiana na kugombana kabisa wazazi wanapofariki si...
Natambua wengi watakusahau kwenye hili, lakini mimi nimekukumbuka vile unavyojisikia kuondokewa na watu wako wa karibu sana ndani ya kipindi cha mwezi mmoja.
Hilo ni la kwanza! Pole ya pili ni kule kuachwa pekeyako na wastaafu wenzako mliokalia kiti kimoja kwa kupokezana kwa vipindi tofauti...
Minong'ono ya chini kwa chini inasema katika wosia wake Mzee Mwinyi alitaka akazikwe Mkuranga nchini Tanganyika wazazi wake walipolala na si nchini Zanzibar alikoenda kama mhamiaji kwa mahitaji ya kisasa miaka hiyo
Wiki chache zilizopita kulikuwa na harakati nyingi huko wilayani Mkuranga hasa...
Sheria na kanuni za LATRA si kwamba ni msahafu kwamba haziwezi kubadilishwa ama kutenguliwa ndio maana wametoa tena ruti ya Mbezi Mnazi mmoja .. Hii ruti ilikuwepo lakini ikafutwa baada ya ujio wa mradi wa mwendokasi unapoelekea kufeli kwa speed ya kutisha..
Sekta ya usafiri inapaswa kubadilika...
Mfanano wa kesi:
Zote ni za kaskazini
Zote zinahusu mabilionea wakubwa Tanzania
Zote zinahusiana na utajiri, chuki, visasi.. No more [emoji174]
Utofauti
Moja ni talaka, wanandoa wote bado wako hai japo kuna tuhuma za kujaribu kuwekeana sumu
Nyingine ni ya mauaji, mwenye mali kafa, ndugu...
Hii kitu si ramli wala utabiri wa kubahatisha bali ni mchakato wenye matokeo yasiyozuilika wala kushindwa.. Ni mchakato unaoipeleka dunia na ulimwengu mahali ambako binadamu, mimea na viumbe hai vv yote vitakuwa si vitu vya asili tena bali vya kupangwa na kutokea kwa kutumia akili bandia tuu...
Pamoja na upweke wake na kuogofya kwakwe kwa wale walio hai inawezekana wafu wenyewe wakifika huko ni full shangwe, full bata, full maokoto
Kuna simulizi za kusadikika kwamba huko makaburini kuna maisha yanaendelea kama huku duniani tuu .. Tofauti yake ni kwamba huku tunasubiri kufa ila wao huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.