Recent content by Lycaon pictus

  1. Lycaon pictus

    Kituo cha Mabasi Mwenge na Stendi ya Mabasi ya Mkoa Arusha

    Serikali kuu haina mkono katika kujenga kituo cha Mwenge?
  2. Lycaon pictus

    MUHAS na CUHAS ndio vyuo bora pekee vya Afya Tanzania

    Hujui unachosema. MUHAS kuna wagonjwa hadi wanamwagika. Daktari mwanafunzi akitaka muda wote awe na wagonjwa anaweza.
  3. Lycaon pictus

    App za bure zinaingizaje hela?

    Anazuia kutangaza. App inaendelea.
  4. Lycaon pictus

    Mikoani maisha yamejaa kufuatiliana, ulozi, ufitini na umbea

    Umbea ni muhimu. Wengine mnakuwaga majambazi, wabakaji na tabia zingine mbovu mbovu.
  5. Lycaon pictus

    App za bure zinaingizaje hela?

    Admob. Wakala wa matangazo.
  6. Lycaon pictus

    App za bure zinaingizaje hela?

    Nilikuwa na app ya bure niliweka matangazo. Walifika kama active users 5000. Pesa ya matangazo ilifika 40 dollars. Baadaye nikafungiwa sababu contents zilikuwa za kiswahili na wao hawasupporet apps zenye contents za kiswahili. Leo ingekuwa kubwa sana.
  7. Lycaon pictus

    Huenda hukuzifahamu ngoma zenye mashabiki na wafuatiliaji wengi duniani

    views bilioni moja unaingiza Tsh ngapi?
  8. Lycaon pictus

    Askofu Bagonza atoa mada tunduizi Jukwaa la demokrasi 2024 linalofanyika Zanzibar

    Demokrasia na maendeleo ni inversely proportionals. Hakuna nchi inaweza kujitoa kwenye umaskinini iwapo inafuata demokrasia.
  9. Lycaon pictus

    Askofu Bagonza atoa mada tunduizi Jukwaa la demokrasi 2024 linalofanyika Zanzibar

    Nitaendelea kusema. Kujenga demokrasia ni kupoteza muda na mali
  10. Lycaon pictus

    Ukweli mchungu: Kibiashara Facebook is more powerful than Instagram

    Ukiwa na followers wengi na active unaweza kufanya bure, lakini bado inakuwa si kama kulipia.
  11. Lycaon pictus

    Ukweli mchungu: Kibiashara Facebook is more powerful than Instagram

    Kama unatangaza matangazo ya kulipia tofauti yao siyo kubwa sana. Ila watu wa facebook wanaengage sana kwenye comments. Tatizo lao ni kutokuwa na pesa za kutosha.
Back
Top Bottom