Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

JINSI YA KUFANYA MEDITATION Meditation Ya Pumzi: MEDITATION: Ni ile hali wakati mawazo yanapokuwa yameyeyushwa na kufikia mahali ambapo hakuna fikra yenye kuingia tena. ¡¤ Wengine wanaielezea...
122 Reactions
1K Replies
220K Views
Ndugu zangu. Hata sasa tumeshuhudia anguko la mwanadamu katika nyakati hizi za Neema ya Mungu ya Wokovu kupitia damu ya Thamani ya Yesu Kristo... Manabii wa uongo walikuwepo tangu nyakati za...
1 Reactions
5 Replies
348 Views
Halo marafiki poleni na urefu wa mwaka uliofikia ukingoni Tuende kwenye mada fupi sana lakini utapata lolote litakalo kusaidia maishani mwako baadae Usigeuke nyuma utakuwa jiwe la chumvi sio...
13 Reactions
17 Replies
1K Views
BEHIND THE CURTAIN: SEPTEMBER 11 Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI". kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17. Bei ya kitabu...
162 Reactions
1K Replies
290K Views
Habari za sikukuu wana JF natumaini kila mtu ni mzima wa Afya bila kupoteza muda twende kwenye mada na ningeomba tuisome kwa umakini sana maana kuna jambo kubwa nataka tujifunze mwishoni...
38 Reactions
47 Replies
7K Views
KWANZA UKISOMA KWA PC AU COMPUTER NYINGINE IPO BORA KULIKO KWA SIMU Fanya Research yeyote ya underground utagundua All Roads lead to Rome Vatican. Diplomatic roads .Nk Kati ya vitu vilivyo wahi...
34 Reactions
623 Replies
100K Views
JONH F. KENNEDY, CIA NA LEE OSWALD: UJUAJI Vs DOLA, KITENDAWILI CHA DUNIA AMBACHO AKIJATEGULIWA MPAKA SASA. Na Comred Mbwana Allyamtu Thursday-28/05/2020 Marangu, Kilimanjaro- Tanzania. John...
13 Reactions
44 Replies
16K Views
UKWELI[emoji118] ULIOFICHWA[emoji118] Dunia hii haijawahi kuwa na maana Zaidi ya Ubadhilifu, Upumbavu uliokithiri, jinsi mifumo inavyowafanya watu kuwa Kama mashine, na huo muendelezo wa hayo...
2 Reactions
10 Replies
884 Views
Salute Kipindi cha nyuma kabla sijawa na ufahamu wa masuala ya teknolojia nilikua nikiangalia muvi kama vile KingKong, Jurasic Park,Godzila,RoboCop, Cyborg , Terminator nk nilikua najua kwamba...
84 Reactions
344 Replies
36K Views
Maswali ya kujiuliza: Kunauhitaji gani wa hii project kwa sasa? Je, huu mradi ni kipaumbele cha Taifa? Je, ukitengenezwa huu mradi wa umeme na viwanda vikaamua kutumia nishati tofauti kama vile...
10 Reactions
90 Replies
14K Views
Mate, Habari. Kwenye familia zetu kumekua na nadharia inayosema kua watoto ambao ni wa kwanza kuzaliwa hasa watoto wa kiume kwamba hua hawana Akili, ni mapepe,ni watundu na mara nyingi hua hawana...
156 Reactions
540 Replies
75K Views
Habari wakuu. Leo nimeona nilete kwenu hii hoja kwa mfumo wa swali. Kama nililivyoliweka hapo kwenye heading kuhusu taswira au umbo lionekanalo kwa macho pale inavyowezekana, hawa viumbe ambao...
6 Reactions
47 Replies
2K Views
natumaini wote wazima ndugu zangu wa jf intelligence, bila kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye kichwa husika cha mada kwanza kabisa naomba kujua kwanini injili ya barnaba...
9 Reactions
216 Replies
32K Views
Salamu wana jamvi, leo nimeona niwaletee chapisho linaloelezea kitabu maarufu sana cha hadithi kinachojulikana kama’’The DaVinci Code”. Kitabu hiki nimekisoma hivi karibuni nikaona si vibaya...
8 Reactions
29 Replies
2K Views
IJUE NYOTA YAKO Nyota ni Elimu ya Sayansi ya kiroho ambayo inatumika Dunia nzima. Kila mtu katika Dunia akitaka asitake, aamini au asiamini atakuwa amezaliwa katika moja wapo ya nyota hizi 12...
29 Reactions
1K Replies
640K Views
According to Sadhguru. Unakubaliana naye?? Cc DR Mambo Jambo min -me
3 Reactions
8 Replies
726 Views
WAFAHAMU WANYAMA WENYE HESHIMA KUBWA DUNIANI. Katika uumbaji Mwenyezi Mungu aliumba viumbe wa aina nyingi sana, viumbe hao ni pamoja na ndege, samaki wakiwamo na wanyama pamoja na wadudu...
17 Reactions
32 Replies
11K Views
Kudanganya kwa jina la Mungu huku akiwaambia watu kuwa yeye ni njia ya kumfikia Mungu. Miujiza na nguvu isiotokana na njia ya Mungu. Ushajiuliza hawa washikaji hawaogopi kuwa wanakufuru na muda...
3 Reactions
14 Replies
825 Views
I hope y'all are doing just fine, It has been long time since I was here[JF Inteligence] Kuna mtu alileta mada humu akiuliza kwamba picha inayotumiwa na wakristo hasa wakatoliki ya mtu mmoja...
84 Reactions
358 Replies
27K Views
Leo hii duniani hakuna ugonjwa unaoua watu wengi kama kuzeeka. Zaidi ya asilimi 60 ya watu wanaokufa leo hii wanakufa sababu ya uzee. Ugonjwa wa kuzeeka unatokea pale seli za mwili zinapoacha...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom