lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,241
- 2,782
Moja kwa moja.
Ikiwa kwa mfano umefiwa na mtoto wako ama mtu mwingine yeyote wa karibu sana unaweza kuvaa sare Msibani?
Muda wa kuwazua nivae au tuvae Sare gani hivi huwa unatokea wapi ikiwa umeumizwa moyo kupitiliza?
Wanawake wanakwenda na kusuka kabisa eti nasuka nywele za kwenda Msibani, hivi kweli lwa msiba uliokugusa moyo inawezekana?
Kwakweli sioni mantiki kama ipo tafadhali nijuzwe. Nimpongeze msanii Ally Kiba huwa haendi Msibani kufanya show off.
Kwa hilo Mungu atamlipia.