Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

JF Prefixes:

  • Sticky
Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunganishi hiki; Register Mshiriki anaweza kutumia jina halisi au la kubuni ‘pseudonym’. Mshiriki atatakiwa kutaja...
17 Reactions
108 Replies
12K Views
Upvote 29
  • Sticky
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UZINDUZI WA AWAMU YA 4 YA SHINDANO LA “STORIES OF CHANGE” JamiiForums (JF) ni Asasi ya Kiraia yenye Makao Makuu jijini Dar es Salaam. JF inashughulika na Haki za...
19 Reactions
46 Replies
5K Views
Upvote 33
TRANSFORMING TANZANIA'S EDUCATION SECTOR: A VISION FOR THE NEXT DECADE Tanzania, a land of diverse cultures and breathtaking landscapes, envisions a future where education becomes the cornerstone...
1 Reactions
2 Replies
45 Views
Upvote 1
Uzalishaji wa umeme unapokidhi mahitaji nchini unachangia kwenye ukuaji wa uchumi kutokana na shughuli nyingi za viwanda vikubwa na vidogo kuendeshwa kwa utegemezi wa umeme Umeme unapokua wa...
5 Reactions
17 Replies
427 Views
Upvote 9
Miaka 5 mbele inaonekana kuwa wazi kabisa kwa binadamu yeyote anaefuatilia muenendo wa nchi yetu mama nchi ya Tanzania. Mimi ni miongoni mwa vijana wanaotamani kusoma masomo yake nchi...
1 Reactions
1 Replies
46 Views
Upvote 1
Vitalu vya kuvuna kuni na mkaa ni maeneo maalum ambapo uzalishaji wa kuni na mkaa unasimamiwa kwa kuhakikisha upandaji na ukuzaji wa miti, uendelevu wa misitu udhibiti katika uvunaji wa miti. Kuni...
5 Reactions
7 Replies
196 Views
Upvote 7
Tanzania ya Kijani inawezekana Yafuatayo yaweza fanyika katika Sekta ya Mazingira: Tanzania ina ukubwa wa takribani Km za mraba 945,087. Ni moja ya nchii liyojaliwa kwa ukubwa ardhi yenye...
2 Reactions
4 Replies
103 Views
Upvote 4
Ni wazi unakubaliana na mimi kuwa kwa asilimia kubwa watoto wengi wanaosoma shule za English medium ni watoto wanaojua kusoma na kuandika lugha ya kingereza kuliko wale wanaosoma shule za msingi...
6 Reactions
40 Replies
608 Views
Upvote 16
UTANGULIZI Swali la kuu la kujiuliza ni kuwa , Tanzania imekuwa na vizazi vingi tangu ilipojipatia Uhuru mwaka 1961 na kumekuwa na awamu takribani tano za Uongozi, kwanini adi leo hutujaipata...
1 Reactions
0 Replies
25 Views
Upvote 0
Ni wazi kwamba Ajira kwa vijana imekuwa ni kilio kwa kila Familia hapa nchini. Na hata kuwa Agenda/Fursa kwa wanasiasa pia. Ila mwiba wa hicho kilio kinapaswa pia kianzie na sera madhubuti...
0 Reactions
0 Replies
29 Views
Upvote 1
Ubia kati ya Serikali na sekta binafsi katika miradi ya maendeleo ( public private partnership), katika kuleta maendeleo ya kuichumi ni muhimu, kwa Tanzania ubia kati ya serekali na sekta binafsi...
0 Reactions
0 Replies
18 Views
Upvote 0
Jeshi la kujenga taifa (JKT) ni moja ya chombo kilichoundwa tarehe 10 Jul, 1963 baada ya nchi yetu kupata uhuru. Lengo kuu ni kuelimisha, kudumisha uzalendo, maadili na nidhamu ya vijana na...
13 Reactions
16 Replies
372 Views
Upvote 16
Moja ya kitu Cha kujivunia ni kuzaliwa Katika nchi ya Tanzania, imejaliwa kuwa na vitu vingi vya kuvutia na kupendeza sana vilivyo tapakaa nchi nzima. Mfano wa vitu hivyo ni kama Mlima...
0 Reactions
0 Replies
29 Views
Upvote 0
TUJENGE MIFUMO YA UWAJIBIKAJI, KAMWE TUSITEGEMEE KUWA NA NAMBA ZA OCD AU ASKARI WA USALAMA BARABARANI. Taifa tunapaswa kuwekeza sasa kwenye mifumo imara ya uwajibikaji ili leo na kesho hata kama...
0 Reactions
1 Replies
33 Views
Upvote 0
Malezi Bora yanajumuisha wazazi wote wawili kuishi pamoja na kushirikiana. Ili kuibadilisha Tanzania yetu ni vyema malezi ya watoto yaanze tokea mtoto anapo zaliwa. Malezi bora yanatokana na...
0 Reactions
0 Replies
18 Views
Upvote 0
INTRODUCTION Dar es Salaam stands as the largest city and economic center of Tanzania, located on the eastern coast of the nation. It functions as the primary seaport and commercial nucleus...
0 Reactions
0 Replies
21 Views
Upvote 0
KUWAHESHIMU NA KUWALINDA WATU WALIO NA ULEMAVU KWA AJILI YA KULIJENGA TAIFA LA KESHO Tanzania tuitakayo miaka mitano ijayo. Ni pamoja na kutunga sera, sheria pamoja na kanuni kwa watu wenye...
0 Reactions
0 Replies
13 Views
Upvote 0
UTANGULIZI AFYA NI NINI? Afya ni hali ya ustawi wa kimwili, kihisia, na kijamii ya mtu binafsi au jamii nzima. Ni zaidi ya kutokuwepo kwa ugonjwa; ni hali ya kujisikia vizuri kimwili, kiakili, na...
0 Reactions
0 Replies
42 Views
Upvote 0
kwa mkono wa: Mikael Mtanzania. Yeyote asiyekubali kubadilika basi mabadiliko yatamuacha nyuma. Tumekuwa tukisikia malalamiko mengi hasa yanapotokea majanga au unapotokea moto umewaka sehemu...
0 Reactions
0 Replies
26 Views
Upvote 0
MWANZO Tanzania ina fursa ya kujenga jamii iliyo wazi zaidi, yenye demokrasia imara na uchumi endelevu katika miaka 5 hadi 25 ijayo. Uhuru wa vyombo vya habari na mtandao ni nguzo muhimu katika...
80 Reactions
56 Replies
2K Views
Upvote 140
TANZANIA tuitakayo ni Ile iliyokamilika katika nyanja zote iwe Bora katika afya ya kijamii Ili iweze kufanya shughuli za kimaendeleo. Ninapenda kuunganisha maneno haya maudhui haya mawili...
0 Reactions
0 Replies
35 Views
Upvote 0
Nchi ya Tanzania ni nchi iliyobarikiwa Sana kwa rasilimali nyingi na yenye watu wenye wenye moyo na kuwajibika. Nchi yetu iliweza kupambana na kuondoa ukoloni na pia kuingiza sera ya ujamaa na...
0 Reactions
0 Replies
27 Views
Upvote 0
Back
Top Bottom