Msaada: Nimefanya mapenzi na mwanamke Condom ikapasuka. Nimepima majibu yamekuja hivi



Unataka kututambia kwamba unazo nguvu dume nyingi kiasi kwamba umeweza kuirarua ndomu??!!--- au siyo??
 
Watu wengi hawana elimu ya jinsi ya kuvaa kondomu ndio maana zinapasuka,kondomu ikivaliwa kwa kufuata maelekezo yake kupasuka ni ngumu mno.maelekezo huwa yanawekwa kwenye kiboksi cha kondomu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…