Heri yangu meme ambaye malaria haina taste yangu.
Usitukane wakunga...
Wakunga wa jinsia yangu watanitibu mimi. Sijawatukana swahiba.
Lakini pamoja na hayo, hivi huyu waziri haoni kuwa wananchi wengi watakufa au kuugua kansa kwa sababu ya kutumia madawa feki ya malaria,
Mimi naona waruhusu chloroquin ziendelee kutumika, maana kabla hawajaizuia hakukuwa na dawa bandia,
Mzee mwinyi alipokuwa waziri wa mambo ya ndani, wananchi waliuawa kanda ya ziwa, ktk kuonesha kuskitishwa kwake, alijiuzuru, hata huyu afanye hivyo.
Mafamasia tuanao wa kutosha, viwanda vipo kumbuka chloroquine kuwa ilikuwa inatengenezwa Keko pharmaceutical Industry (KPI), pia kwa sasa wameanza kutengeneza ARV`s.Not in TZ. mmeshindwa kutengeneza viatu na viberiti, dawa mtaweza?