kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 14,771
- 17,092
Lissu anapita huku na huko kumkandia raisi Samia kuhusu uzanzibari wake,
lissu ni mtu asiye na shukurani wala kumbukumbu kuwa wakati amenyukwa zile njugu na kupata ugumu wa ndege kuruka na hicho chama chake hawapo busy kushughulikia suala lake upande wa pesa.
Alijitolea mbunge na kada wa ccm kutoka zanzibar yaani mzanzibar hao hao wanaoshutumiwa kuwa si watu, akatoa pesa yake tena pesa ya kigeni kukodisha ndege ya kuokoa uhai wake unaompa lissu kibri leo cha kumtukana na kumkashifu mzanzibar.
Lissu kwa uchache wa shukurani hajawahi hata siku moja hajawahi simama jukwaani kumshukuru yule mwamba aliyeweka rehani mali zake kuokoa maisha ya lissu.
Familia ya yule muhisani bado ipo fanya siku wende ukatoe shukurani!
Dereva wa lissu yu wapi gari imepatikana!