Tajiri huwa haongei sana.
inajulikana masikini wana hasira za haraka mno, nahofia nisije kutumia njia ya kawaida tu kumwambia huyu mtu nikashangaa ananipiga kabali. Na vile masikini walivyo na...
Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania.
1. Wachaga
2. Wakurya
3. Wanyakyusa
4. Wahaya
5. Wapare
6. Wasukuma
7. Wameru
8. Wajaluo
Yani...
Dondosha jina la mtu anayekufurahisha JF anavyoandika nyuzi zake au replies.
Mallerina unanifurahisha sana na majibu yako kwenye threads.
Najua siwezi kukuanzishia nyuzi bure bure my future...
Habari
Kuna baadhi ya clip hata kama ushaiangalia zaid ya mara 10 ila kila ukiingalia tena lazima ikuchekeshe au ikukumbushe jambo fulani
Weka hapa tufurahii😁
Zangu ni hizo,sijawahi kuzifuta...
Za jioni wakuuu....................................
Anyway weekend iko poa?
Nimekaa hapa nikakumbuka siku ya kwanza nilipoingia barbershop ebwanaaa eeeh ilikuwaa hiviii 👇👇
Niliona saloon...
We jiamini tu na hakikisha wote mnaweza kuelewana kwa hiyo lugha, kwisha habari.
Trust me hapo lazima mtu ang'ang'ane nawewe.
=====
Kwa hisani ya Braza Kede
Kwa kweli, kwa kuwa mwaminifu wa dhati katika maoni yangu ya unyenyekevu, bila kuwa na hisia na bila shaka bila kumuudhi mtu yeyote ambaye anafikiri tofauti na mtazamo wangu
...na bila uongo kwa...
Unakuta msichana amepost mtandaoni video au picha, amejiwekea filter ya kuongeza mdomo unakua umetuna kama ameng’atwa na nyuki.
Nimeona sana kwa mabinti wa chuo, na binafsi sielewi, huu ndiyo...
Habari za wakati huu ndugu zangu Natumaini wote wazima kwa yoyote mwenye changamoto MWENYEZI MUNGU ATASAIDIA,
Basi nimekutana na mtu huko anasema kwanini Eti ngo'mbe wa laki nane analala nje...
Kwa kweli, kwa kuwa mwaminifu wa dhati katika maoni yangu ya unyenyekevu, bila kuwa na hisia na bila shaka bila kumuudhi mtu yeyote ambaye anafikiri tofauti na mtazamo wangu
...na bila uongo kwa...
Huyu jamaa kwa kweli ni Guru, Ila siku za karibuni amepoteza kabisa mvuto na content pia.
Nyuzi anazotuma zinakosa kabisa wachangiaji, kiasi kwamba kuanzia post ya kwanza hadi ya ishirini ni yeye...
Swali (marks 1 kwa Kila jibu)
Picha hii ina vipande 6 .Kila kipande kina picha yenye fumbo.Jaribu kutafsiri moja baada nyingine.
Vidokezo
Maneno na maumivu
Kuchapakazi na Udhaifu
Maneno na...
Salamu wakubwa jaman nilikua na survey Kuna member since 2007 ndo natambaa sijui ila ivi mnajuaga kama Kuna watu wamepotea, au hatupo nao Tena ila muendelee kutupa madini nawaheshimu viongozi...
Hapa nikiwa Markiti
KAD-AFLAHA MANTAZAKKAA!-Hakika amekwishafaulu aliyejitakasa na mabaya
WADHAKARASMA RABBIHI FASWALA! - Akakumbuka jina la MOLA wake na akaswali
BALTUUTHIRUUNAL...
International Day Of Tolerance'
Every 16th of November.
Smart911 tumechoka vimesemo vya mara ooh acha waje wakupe muongozo, haunaga cha kusema kingine haha anyway much love bro.
Umealikwa mtaani penu Kuna shughuli umbali wa km 1 kutoka kwenu unatembea kwa miguu mara baada ya mvua kuisha, kwa bahati mbaya wakati unakaribia kwenye tukio ukateleza na kukaa chini topeni nguo...
Sio kunguru wala bundi ni ndege aka aeroplane kwa lugha ya kihaya
Hivi wakuu kweli nishindwe kumiliki hata hutu tundege tudogo tunapitaga hapo juu hadi unaona ngondi za suka anakanyagia klachi...
Salaam wana jamvi!
Wajuzi wanasema kua yuaone. Kama tunavyohua mabachela watafutaji hususani wanao anza maisha wengi wetu tuliotokea kwenye familia dhaifu kiuchumi tunaanzia kwenye ghetto ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.