Search results

  1. K

    Kwanini wa Oman wapewe Airport ya KIA na sio Zanzibar?!!

    Uwekezaji gani unahitaji hasa mbona hata plan ya paweje mpaka leo hauko wazi? Mimi binafsi nimempa Mama chance sana lakini amekuwa disappointment mpaka sasa. Kapata chance ya katiba kavurunda Kwa ubinafsi, kapata chance ya kuwa mwanzi tunaona mikataba ya kisirisiri mfano DP world! Siri za nini...
  2. K

    Kwanini wa Oman wapewe Airport ya KIA na sio Zanzibar?!!

    Naomba jibu tu kwanini KIA sio Zanzibar? Nikipata sababu nitaomba msamaha!
  3. K

    Kwanini wa Oman wapewe Airport ya KIA na sio Zanzibar?!!

    Kuna vitu ambavyo nakaribisha hoja 1 . Kwa wanaosema ubaguzi mtueleze kwanini KIA na sio airport ya Zanzibar? 2. Kwanini haya mambo ya uwekezaji wa namna hii yanaenda ya viongozi wa Zanzibar mfano kwenye airport waziri ni? Kwa wale wanaosema hatupendi uwekezaji 1. Kwanini tuwekeze sehemu...
  4. K

    Ninavutiwa Sana na Utulivu na Umakini wa Rais Samia Kiuongozi

    Utulivu maana anatega mabumu ya kulipuka baadae mabumu ni haya 1. Katiba hili bomu litalupuka huko mbele 2. Bandari hili bomu litalupuka 3. Kuuza KIA hili bomu litalipuka 4. Kuuza carbon credit za misitu kwa kutoa watu kwa waarabu kisiri siri hili bomu litalipuka 5 wanapika sasa mikataba ya...
  5. K

    Kwanini wa Oman wapewe Airport ya KIA na sio Zanzibar?!!

    Tukiacha uchawa tujiulize tusiwe tunashabikia vitu tu kama misukule? Airport zote za KIA na Zanzibar zinategemea watalii. Sasa ni kwanini kama kuna sababu tuambiwe tunasikia airport ya KIA wanataka kupewa wa Oman kwanini wasipewe na airport ya Zanzibar kama kweli ni kwa manufaa ya taifa...
  6. K

    Kampuni ya Adani yasaini Mkataba wa miaka 30 kuendesha Gati ya 2 ya Bandari (Zamani TICTS)

    Inasikitisha imefika wakati hata watu wenye akili zao hawahoji chochote hata mikataba ya miaka 30 au isiyo na kikomo. Mpaka leo mkataba wa DP world ni wa siri hakuna tender yeyote iliyotangazwa. Kuna mkataba mwingine wa miaka 30 umeingiwa na huyu muhindi . Uchawa umefika sehemu hata vitu vya...
  7. K

    Mtindo mpya wa rushwa wa kubomoa na kujenga Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Pafanyiwe repair na kuwa chuo au mabweni ya wanafunzi. Wajenge hospitali sehemu nyingine maeneo yapo mengi hasa sehemu za NHC wana sehemu nyingi sana
  8. K

    Kuelekea 2025 CHADEMA msiweke Wagombea kwenye haya Majimbo na CCM pia haya Msiweke ili kujenga Bunge lenye nguvu baada ya 2025

    Ni siasa za kijinga kutokuweka wagombea kwenye demokrasia. Mtu yeyeote ana haki za kushiriki uchaguzi. Kikubwa hapa kama wadau ni kupigania chaguzi huru bila kujali chama. Malalamiko mengi ni wizi wa kura . Tusijadili mambo ya kijinga mengine
  9. K

    Mtindo mpya wa rushwa wa kubomoa na kujenga Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Rushwa ipo pale ambako wanajitafutia miradi isiyo na umuhimu kwa taifa. Kama kawaida ya siku hizi wazabuni hata hakuna tender wanachagua watu wao gharama za ujenzi waneshajua hata kabla ya ushindani wa tender! Yaani maana yake wamesha piga mahesabu yao
  10. K

    Kafulila: Tangu Rais Samia aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kasi, ni zaidi ya Jumla ya ukuaji wa Uchumi wa nchi za Kenya na Uganda

    Nchi sio watu ni mifumo imara. Yaani kiongozi bora ni yule anayeweka mifumo bora sio kuongea au uchawa pekee. Madikteta wote wanasema wanapendwa na kila mtu lakini wanaishiaga kuangushwa vibaya. Hata Hilter alisema anapedwa na watu lakini aliishia wapi? Binadamu wanapita tu Mama akiondoka...
  11. K

    Tume ya Mipango imesheheni Wazee Wasomi wa UDSM ile The Hill, Balozi Dr Migiro, Balozi Sefue, Balozi Mpungwe (Watu wa Hayati Mkapa hawa)

    Nhi yetu imejaa unafiki bila katiba mipango ni bure na upotevu wa muda tu
  12. K

    Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

    Kama ana nia nzuri angeacha kupingana na kudidimiza upinzani uliokuwa unasema haya. Vilevile ange support katiba! sasa anaonekana mbumbumbu tu kakosa asali.
  13. K

    Kafulila: Tangu Rais Samia aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kasi, ni zaidi ya Jumla ya ukuaji wa Uchumi wa nchi za Kenya na Uganda

    Itaendelea kama katiba itapitikana miaka miwili au mitatu ijayo bila hivyo ni ndoto. Magufuli pekee alishageuza kila mtu. Watu walikuwa wanapigwa risasi, bank account zilikuwa freezed, biashara kufungwa sasa kama ile ilikuwa imani kwako basi maana zetu za imani hazifanani. Magufuli angekuwepo...
  14. K

    CCM tunafuatulia kwa karibu Matokeo ya Uchaguzi mkuu wa Africa Kusini, Rafiki zetu ANC wanapambana vikali!

    Vijana wamekuwa machawa mtakufa masikini🤔 Abdul mtoto wa Mama anatafuta deal tu nyie uchawa🥲
  15. K

    Ziara ya Rais Samia Korea Kusini atasaini Mkopo wa Tsh. Trilioni 6.51

    Cha ajabu hao waarabu wanapewa vitu kama ngorongoro, bandari na nasikia wanataka wawape KIA hawatoi mkopo wala nini wanawapa apartment’s huko kwao watu wanauza nchi. Badala ya mikopo tungepewa viwanda
  16. K

    CCM tunafuatulia kwa karibu Matokeo ya Uchaguzi mkuu wa Africa Kusini, Rafiki zetu ANC wanapambana vikali!

    Yaani kuna tofauti kubwa wenzetu wana katiba sisi tuna machawa. Tanzania uchaguzi ni vichekesho hatuwezi kujilinganisha hata na Malawi sembuse South Africa 🤣 toa the comedy hapa. CCM tofauti ni wezi wa kura wenzenu kura ni za wananchi
  17. K

    Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

    Bila mfumo wa katiba mpya viongozi wanachaguliwa kwa uchawa na sio kwa demokrasia na huo ndiyo ukweli. Lakini unadhani siasa za Tanzania zitakuwa kama zamani bila kuelewa huko mtaani watu wanabadilika hivyo bado unafikiri yake ya kikwete na Lowassa 1995 ndiyo ya 2030. Hii nchi bila katiba mpya...
  18. K

    Kafulila: Tangu Rais Samia aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kasi, ni zaidi ya Jumla ya ukuaji wa Uchumi wa nchi za Kenya na Uganda

    Kafulila huwezi kutumia historia pekee bila kuangalia uwekezaji. Hatujui uwekezaji mkubwa wa Kenya kwenye technology na hizo kampuni utakuwaje. Vilevile tunajuaje kwamba Tanzania itaendelea na amani wakati hatuna katiba mpya na sheria za uhakika kama wenzetu. Tanzania kuna political risk kubwa...
  19. K

    Tatizo la Tanzania ni viongozi wengi hawana uzalendo wa kweli

    Tanzania viongozi wengi wanaenda kwa mazoea na siasa wanaona kama biashara binafsi. Wananchi wengi wanatambua sasa kwamba viongozi wengi badala ya kuangalia nchi kwanza wanaangalia famila zao kwanza na kutafuta jinsi ya kujilimbikizia mali. Kitendo cha kununua magari ya zaidi ya milioni 300...
  20. K

    Msigwa na Sugu wamekuwa RIVALS kitu ambacho hakipendezi kwa afya ya chama

    Wanashindana sio kulumbana. Utamaduni wa kushindana ni mzuri. Na wanashindana wazi hii ndiyo demokrasia msije kufikiri demokrasia ni watu kwenda kunywa chai pamoja. Hayo ni mambo ya baadae wacheni ushani uwe ushindani hakuna matusi ya nguoni wala nini sasa tatizo ni nini?
Back
Top Bottom