Search results

  1. K

    Kwanini wa Oman wapewe Airport ya KIA na sio Zanzibar?!!

    Tukiacha uchawa tujiulize tusiwe tunashabikia vitu tu kama misukule? Airport zote za KIA na Zanzibar zinategemea watalii. Sasa ni kwanini kama kuna sababu tuambiwe tunasikia airport ya KIA wanataka kupewa wa Oman kwanini wasipewe na airport ya Zanzibar kama kweli ni kwa manufaa ya taifa...
  2. K

    Tatizo la Tanzania ni viongozi wengi hawana uzalendo wa kweli

    Tanzania viongozi wengi wanaenda kwa mazoea na siasa wanaona kama biashara binafsi. Wananchi wengi wanatambua sasa kwamba viongozi wengi badala ya kuangalia nchi kwanza wanaangalia famila zao kwanza na kutafuta jinsi ya kujilimbikizia mali. Kitendo cha kununua magari ya zaidi ya milioni 300...
  3. K

    Kwa USA, Ruto anachukuwa nafasi ya Ramaphosa?

    William Ruto wa Kenya kachukuwa nafasi ya Cyril Ramaphosa wa South Africa baada ya South Africa kujiunga na Urusi na China kwenye Bricks. Hii imetoa mwanja kwa Marekani kuangalia kiongozi mwingine. Marekani imeangalia kiongozi mwingine kwa vigezo ambavyo Tanzania haina kikubwa demokrasia na...
  4. K

    Mdahalo kati ya Mchungaji Msigwa Vs Joseph Mbilinyi(Sugu)

    https://www.youtube.com/live/8Qy6COBTVsM?si=598xTNalrbWCq9IJ Mdahalo ni utamaduni mzuri
  5. K

    Msuya na Warioba: Tatizo la dira 2050 ni siasa

    Mawaziri wazee wetu wastaafu wote Warioba na Msuya wamesema tatizo kubwa la Dira yetu ya taifa ni kutokuwa na mfumo wa siasa wa kueleweka. Kwa muda mrefu sasa tumekuwa na mifumo ya vyama vingi lakini wakati huohuo serikali hiyo hiyo ndiyo wanaongoza kuharibu chaguzi zetu na kusumisha mfumo wa...
  6. K

    Mwigulu unampigia nani kelele bungeni

    Mwigulu amekuwa alitoa hoja kwa hisia kali sana na kupiga kelele kama vile anaongea na wezi. Wabunge karibu wote ni fake wa chama chako sasa lawama za nini na kwa nani hasa. Makelele makalele ni kwa nani? Hivi hakuna watu wengine wangeweza kufanya vizuri kuliko jamaa huyu ambaye ameshaanza...
  7. K

    Elimu ya kodi kwa wafanyabiashara: Kodi ya VAT sio yako

    Wafanyabiashara waelewe ukikusanya kodi ya mauzo ya VAT ya 18% ni juu yako kuweka tax kwenye bei zetu. Ile kodi ya 18% sio pesa yako umechukuwa na kuwashikia serikali. Sasa msije kufikiri ile pesa ni pesa yako ni pesa unatakiwa uweke kwenye bei.
  8. K

    Tanzania tunaenda wapi? Tunahitaji wazee wa busara waoga au vijana ambao hawaeleweki?

    Tanzania tuko njia panda kwa kweli. Tuna vijana ambao wamekulia kwenye uchawa na wanajali uongozi tu na wazee ambao hata kama wanajua na wana busara wanaogopa mawe ya CCM. Upinzani tuna vijana machachari ambao wapo tayari kwa lolote, kuna wanaopenda uboss na madaraka na wengine wamenunuliwa. Je...
  9. K

    Maajabu: Maraisi wastaafu wa USA wanafungua maktaba wetu wataka kujengewa maikulu binafsi!

    Maraisi wastaafu wa USA wanafungua maktaba tena kwa kuchangiwa wa watu. Wapendwa wetu maraisi wazalendo eti wanataka kujengewa nyumba kama Ikulu na wenza wao kulipwa. Hawajali hali ya wananchi, mabadiliko waliyofanya na historia wanayoacha zaidi ya matumbo yao. Sijasikia wazo la maktaba...
  10. K

    Mzee Kinana abadilishwe kwa manufaa ya umma

    Mzee Kinana muda wake umepita. Raisi anatakiwa atafute makamu ambaye anaweza kufanya vitu kwa manufaa ya umma kwa ujumla wake na sio kwa CCM pekee. Kwa mwenendo wa sasa watu wasio elewa wataona ni powa lakini tukiendelea hivi katiba itakuja kwa ulazima na uchungu sana. Kuna uwezekano kabisa...
  11. K

    Tetesi: Kuna Mwekezaji KIA? Je, ni siri siri tena?

    Kumekuwa na usiri siri wa ajabu sana. Kwanza waziri alikuwa anachenga changa mpaka akabanwa na wabunge kuhusu mikataba ya KIA na kuhakikisha kiwanja kinarudi serikalini. Sasa tunasikia kuna mwekezaji kutoka Uarabuni ?. Kama ilivyokuwa bandari Nasikia kabla ya uwekezaji wanawekwa wanzanzibari...
  12. K

    Mwalimu Mushi wa Ilboru apewe maua yake “Nishani ya kitaifa”

    Kwa mawazo yangu kati ya walimu wakuu ambao wanahitaji nishani za kitaifa ni Mwalimu mkuu wa zamani wa Ilboru. Huyu ndiyo alifanya Ilboru kuwa shule ambayo kwa miaka yote ni ya kipekee kwa kutoa madaktari wengi, wanasheria wengi na vipaji vya juu sana hapa nchini kwetu. Kila nchi nilienda watoto...
  13. K

    Kuelekea 2025 Ushauri wa Serikali: Uchaguzi wa serikali za mitaa usogezwe mpaka mwaka kesho

    Mimi nashauri uchaguzi wa serikali za mitaa usogezwe mpaka mwaka kesho na sheria ziwekwe vizuri. Wataalamu wengi wanasingizia muda wakati huo huo wanasema sheria zinahitaji kubadilishwa. Hivyo hakuna sababu ya kwenda kwenye uchaguzi ambao kwa ulivyo sasa utashusha na kupunguza uaminifu wa hata...
  14. K

    Mapungufu Lissu anayosema hajawezi kupigwa kwasababu ni ukweli

    Kwa wanao mpinga Lissu watueleze ni kitu gani anachosema cha muungano sio cha kweli? https://www.youtube.com/live/hmLasxyFJQg?si=lLw63NG_Fuxm-byT Kama kuna mtu ambaye sio Mzanzibari hapa ana haki Zanzibar atujulishe bila hivyo tunyamaze na kumeza ukweli. Tusipende kuishi kwa uongo uongo tu...
  15. K

    Uwakilishi wa ubunge utokane na idadi ya watu

    Naunga mkono uwakilishi ni lazima ulingane na idadi ya watu. Wanzanzibari mfano haijulikani kwanini wawakilishi wao ni wengi sana wakati wapiga kura ni 500k tu. Lakini kuna majimbo mengi yenye watu wengi sana. Utaratibu wa wabunge inabidi ubadilike. Hili halina Chama ni usawa na haki kwa raia...
  16. K

    Je Lissu kapiga chini ya mkanda au kasema ukweli!

    Nilivyokuwa Ilboru 1990-1993 niliambiwa miaka ya nyuma kulikuwa na kijana machachari sana ambaye alikuwa anaitwa Antiphas. Umachachari huo ulitokana na debate club za pale Ilboru ambazo zilikuwa mashuhuri sana. Ilboru kulikuwa na debate club ambazo kila ijumaa ya mwisho wa mwezi kuna debate ya...
  17. K

    Wana CCM wazalendo ungeni mkono demokrasia, katiba mpya kwa manufaa ya nchi yetu

    Kuna watu wengi ambao wapo CCM na ni wazalendo. Lazima muelewe sio matakwa yote ya CCM ni kwa faida ya nchi kuna mambo mengi sana ambayo ni kwa mafanikio ya tabaka la utawala ndani ya CCM. Tabaka hili lenye mtandao mkubwa ni wale wakubwa ambao ndiyo wanafanya maamuzi ikiwa ni pamoja na kuingiza...
  18. K

    Ushauri kazi za ukurugenzi kwa ngazi zote ziwe za kuomba nsio kuteuliwa

    Tatizo tumekuwa na kazi ambazo zinahitaji uwezo wa kusimamia miradi na budget mbali mbali za maendeleo. Lakini tunaweka makada ambao wengi wamezoea kupiga domo kucha kutwa bila kufahamu chochote kuhusu uongozi. Hii imesababisha nchi zima na kila idara kuwa ya machawa na watu wasio jielewa...
  19. K

    Tutakuja kujuta tukimpuuza Mzee Warioba. Tumsikilize wakati bado yupo

    Huyu ni Mzee ambaye alikuwepo tangu wakati wa Nyerere. Kikubwa bado yuko fit na anaweza kujibu maswali. Siku hizi wanasiasa wanajiona wanajua sana kila kitu kuongea kishabiki na kuweka kiki. Lakini ukimuona huyu mzee ambaye kaona mengi anahofia kwasababu anaongea kwa uzoefu na data sio ushabiki...
  20. K

    Uratibu mbaya wa makadirio ya kodi ndiyo sababu kubwa ya ukwepaji kodi

    Mimi ni mtaalamu wa fedha na kwa mawazo yangu tatizo la kodi na TRA linaanza na uratatibu mbaya wa ukusanyaji wa kodi. Kuna kodi za aina mbili kubwa 1. Kodi za mauzo. Kwenye kodi hizi ambazo kwa ulewa wangu ni 18% mlipa kodi sio mfanyabiashara mfano mwenye duka. Mlipa kodi ni mnunuzi na mwenye...
Back
Top Bottom