Wakuu, nimelala nikiwaza namna ya kupata CV niliyoutaja hapo juu.
Wengi tutajiuliza,ninaitafuta ya kazi Gani?
Niwe muwazi kuwa ubinafishwaji wa uwanja wa ndege wa Kilimanjaro ( KIA), ubini wake nimeuona unafanana na kile watanzania wengi wanachokiwaza.
Nikiipata,nitaweka wazi Kila kitu...
President Samia Suluhu Hassan will receive another honorary doctorate in aviation management from Korea Aerospace University (KAU) during her visit to South Korea. This will be her fifth honorary degree since she came to power on March 19, 2021.
The degree will be awarded in honor of her...
Inasikitisha sana, Katibu Mkuu wa chama tawala kupelekwa stand ya mabasi kufanya mkutano na kusikiliza kero za wananchi.
CCM ni kikubwa na kina miaka zaidi ya 40, kwanini kifanyie mkutano stendi ya mabasi?
Wamekosa uwanja wa kufanyia mkutano huo?
Kuna siri kubwa inafichwa na viongozi wa chama...
Tathmini ya utekelezaji wa mpango kazi wa kwanza wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto inaonyesha jumla ya Sh30.5 bilioni zimetumika katika utekelezaji wa afua za kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya watoto.
2. Hizi fedha zilitumika kufanya kazi zipi na wapi?
3. Hii wizara...
Sasa wananchi wamekuwa wakinyanyaswa kupewa wapendwa wao,kwa ajili yamazishi.
Tunaomba huo waraka No.1/2021 wa wizara ya Afya uwekwe hapa tuuone na tuusome na ubandikwe kwenye maeneo husika nchini.
Ukimsikiliza makonda kwenye mikutano yake ,inaonyesha ccm imeshindwa kuisimamia serikali ngazi ya wilaya na mikoa.
Hao wenyeviti wa ccm wilaya na mikoa,kupitia kamati za siasa wanashindwa kukagua miradi na kutoa taarifa mapema hadi milioni 600 zinaibiwa?
Hizo kamati za siasa za wilaya...
Wananchi wanateseka na hawana mtu wa kumlilia shida walizo nazo.
1. Mkuu wa mkoa wa Mbeya. Kero ni Barabara, maji, umeme, maeneo mengi hayana vituo vya polisi.
2. Mkuu wa mkoa wa Manyara. Kero Barbara, maji na umeme.
https://youtu.be/tXr0IShfWjk?si=WZ90OgpxtV42FP66
Nimesikiliza ila bado napingana na juhudi zinazo semwa juhudi hizi ni usiasa tu hazina utekelezaji tunataka kuwaambia iwàpo taka mnataka zisitolewe njee mpaka gari ipite mnataka kuficha uzembe wenu wa kubeba taka Ili ziwe majumbani na zisionekane...
Ninatoa pole sanaa Kwa familia ya Ndg. PATRICK NGILOI ULOMI Kwa kuondokewa na Mama Yao mpendwa hakika wamekuwa kati majonzi makubwa ya kuondokewa na muhimili na nguzo imara ya familia nawapa pole sana na kuwatakia subra tele kutokana na msiba huu mkubwa uliowapata kipindi bado mna mna muhitaji...
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania ondoka ofisini, na fanya ziara za kiwilaya na kimikoa, nenda katembelee wilaya ya Chunya, Kata ya Matundasi, Kijiji cha Itumbi, kuna wahamiaji haramu kutokea nchini China.
Ukifika hutauliza utajionea mwenyewe. Watu kutokea nchi hiyo ni wengi kupitiliza...
Manispaa ya Moshi chini ya Sheria ndogo za (ada na ushuruj ya Mwaka 2019, Tangazo in Serikali Na. 148 la Tarehe 15/02/2019, imeainisha ada na tozo mbalimbali katika kuendesha sherehe kwenye kumbi na maeneo ya starehe.
Mchanganuo wa ada na tozo hizo ni kama ifuatavyo;
Tshs. 60,000.00, Kibali...
Kuna madaktari nimewasikia wako mtaani ,wanajulikana kama
Madaktari Bingwa wa Rais Samia.
Mwenye uelewa WA jambo hili tafadhali.
Kuna kundi jingine wanajiita wezi WA mama Samia wako songea,.
Haya makundi ni ya kitaalamu au ni makundi ya kisiasa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.