Recent content by 20PROFF

  1. 20PROFF

    Natafuta mtu mwenye asili ya Kihindi kumuajiri au kufanya naye biashara

    Usiweke hela yako ktk biashara ,hauko tayari kuifanya. Trust me, binadamu wote ni sawa, especially wakiwa wana deal na kitu ambacho sio chao. Nani kakudanganya hao wahindi Sio wapigaji, hujawajua tu well. Unao waona wapo na connection ya hiyo biashara na circle yao ndogo, kwamba akipiga tukio...
  2. 20PROFF

    Sex huweza kutumika kama njia kufikia roho yako (sex is a gate way to your soul)

    Mbali na magonjwa ya kibailojia au side effects za attachment ya Limbic system, programs za subconscious mind, kuachiana blueprint za DNA. Kuongelea sana biolojia lazima tujue kwa common understanding ya biology otherwise tutaishia kuzunguka sehem moja ,mkuuu
  3. 20PROFF

    Waganga wa kienyeji na wachawi ni mawakala wa shetani, kwanini wanapingana

    Yeah, kama umesema yatosha kaka. Umeweka pale nilipo sahau.
  4. 20PROFF

    Mtu mwenye Ualbino ni mlemavu au sio mlemavu?

    Jamaaa umenichekesha kinoma,😁.
  5. 20PROFF

    Waganga wa kienyeji na wachawi ni mawakala wa shetani, kwanini wanapingana

    Yeah ipo tofauti. Mganga maana yake ni tabibu, Doctor. Hao matabibu wanatoa tiba kwa mtindo tofauti tofauti. 1.Wale waliosomea, MD na wanatumia vifaa na njia zinazo kubalika na mifumo, ktk mitaala mbalimbali.. Kumbuka Tiba inayotolewa humu yaweza kuwa ni Extractions au mavuno ya vitu vya asili...
  6. 20PROFF

    Waganga wa kienyeji na wachawi ni mawakala wa shetani, kwanini wanapingana

    Wanachezewa Mchezo smart bila wao kujua. Ni wachawi wa Higher rank au waganga wa higher rank ndio wanajua game nzima ya mchezo. Ila walio wengi wanajua kuna ka uadui fulani baina yao, ni kama unavyoona Simba na Yanga, huku chini washabiki wanachukulia hayo mambo serious,lakn walio top wanaona...
  7. 20PROFF

    Naomba kujua Mbinu za Kuwaepuka Wahudumu Warembo wa Hoteli Kubwa ambao kila wakija Kufanya Usafi Vyumbani wanatengeneza Mazingira Uwabandue

    Hii post ya kutaka attention / kupiga tu story. Umesha sema mipango yako kuto kula mzigo ( Simamia lengo), Utashi wako umeona huyo binti ni mtu wa kitengo, je una jambo la kuificha serikali yao, au una taarifa nyeti ndani yako, unaogopa nini. Fata uamuzi wako.
  8. 20PROFF

    Bajeti ya mshahara wa sh. 400,000

    Ila risk takers hawawek hela humo. Weka humo kama back up na sio source of income.
  9. 20PROFF

    Bajeti ya mshahara wa sh. 400,000

    Ukisha fungua, kuna baadhi ya mifuko unaweza weka hadi 10k
  10. 20PROFF

    KWELI Nungunungu harushi miiba kujilinda dhidi ya adui yake

    Yeaah, yuko sahihi, nungunungu hana uwezo wa kurusha miba, anajitegesha tu. Hana mechanism ya ku push hiyo miiba ana kifanya ni kugeuza mwili wake ili ukutane na miiba. Zingine zilizobaki ni Story tu.
  11. 20PROFF

    Walichezea kichapo: Jua kuitumia silaha yako

    Ni siku mpya. Ilete baraka na mabadiliko chanya, Ona na visualize ukifakiwa, (Sema Amen). Niwape kisa kimoja, kiwe funzo na chachu ya kujiongeza next time, maana watu tunakurupuka na hizi silaha zetu tulizo nazo. Jana nilikuwa ktk daladala moja naelekea Karume. Konda na dereva wake, wote...
  12. 20PROFF

    Kumbe kuna salamu maalumu ukikutana na mtu usiku mzito? Usiku wa leo mbio ndiyo zimeniokoa

    Ktk hizi ishu za ulinzi, kukabana, doria etc. password sio Universal. Inaweza badilika anytime. Inawez kuwa USIKU, jibu liwe UNYAMAAA. KUKU, Jibu liwe KWA MRIJA.
Back
Top Bottom