Search results

  1. Diversity

    NADHARIA Nadharia mbalimbali kuhusu Covid-19 na chanjo zake

    Covid-19 ni janga ambalo lilitikisa ulimwengu kuanzia mwaka 2019. Virusi vya korona ni jamii kubwa ya virusi vinavyojulikana kusababisha magonjwa yanayoanzia homa ya kawaida hadi homa kali kama vile Homa Kali ya Upumuaji ya Mashariki ya Kati (MERS) na Homa Kali ya Mfumo wa Upumuaji (SARS)...
  2. Diversity

    NADHARIA Huduma ya Pacemaker haipo Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Baadhi ya wanachama wa JamiiForums wamedokeza kudai kwamba huduma ya Pacemaker haipo Muhimbili. Aidha, madai hayo yanabainisha kwamba wagonjwa wamekuwa wakiahidiwa kuletwa kwa huduma hiyo lakini mpaka sasa haijawekwa na kuna taarifa kuwa baadhi wamepoteza maisha kutokana na kukosa huduma hiyo.
  3. Diversity

    SI KWELI Mabehewa 30 na vichwa 2 vya treni za SGR mali ya TRC kupigwa mnada nchini Ujerumani

    Inadaiwa kuwa mabehewa 30 na vichwa 2 vya treni za SGR mali ya TRC vinapigwa mnada 25/11/2022, nchini Germany kufuatia mgogoro wa TRC na EUROWAGON Railways Limited (Turkey), iliyopewa kazi ya kukarabati na kutia nakshi. TRC wamelipa Sh. 23 bilioni (35% ya kazi). Inadaiwa kuwa Mkurugenzi...
  4. Diversity

    KWELI Msumbiji: Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

    Zipo taarifa zinadai kuwa Jeshi la Tanzania katika wilaya ya Nangade, Cabo Delgado waliingia kwenye mtego wa Magaidi katika kijiji cha Vondanhar, eneo la Palma. Aidha inadaiwa Jeshi la Tanzania lilikuwa likisafiri kwa magari ya kivita sambamba na jeshi la Msumbiji. Magari matatu ya jeshi la...
  5. Diversity

    KWELI Elon Musk ana mpango wa kuleta huduma ya intaneti kwa njia ya satelaiti (starlink) nchini Tanzania

    MADAI Inadaiwa kuwa Tovuti ya Starlink inayomilikiwa na mfanyabiashara bilionea ambaye pia ni mmiliki wa Mtandao wa Twitter, Elon Musk imetangaza mpango wa kuleta huduma ya intaneti kwa njia ya satelaiti (starlink) nchini Tanzania kati ya Januari na Machi 2023 endapo itaruhusiwa na Mamlaka ya...
  6. Diversity

    KWELI Mafuta ya taa, kitunguu na ndulele huweza kutibu tatizo la mdudu wa kidole (paronychia)

    Yapo madai ya kuwa dawa za asili kama ndulele, alovela na vitunguu swaumu ni dawa ambazo huweza kutibu tatizo la mdudu wa kidole. Aidha, wengine wanadai mafuta ya taa au maji ya betri pia huweza kutibu mdudu wa kidole. Ukweli ni upi?
  7. Diversity

    UZUSHI Maziwa ya kwanza ya Mama yenye rangi ya manjano ni hatari kwa mtoto

    Kumekuwa na mtazamo kuwa maziwa ya kwanza ambayo mama huyapata mara baada ya kujifungua si maziwa yafaayo kwa mtoto. kutokana na mtazamo huu wanawake wengine huyakamua na kuyamwaga mpaka yanapotoka maziwa ya rangi nyeupe.
  8. Diversity

    UZUSHI Mama anayenyonyesha akifanya mapenzi anaweza kumdhoofisha (kumbemenda) mtoto

    Zipo imani na madai ya mbalimbali ya kijamii yanayobainisha namna ambavyo mama anaweza kumdhoofisha (kumbemenda) mtoto wake baadhi ya madai hayo ni: 1. Baba na Mama hawapaswi kujamiiana wakati kipindi cha unyonyeshaji kwa sababu kufanya hivyo hupelekea mtoto wao kudhoofika (kumbemendwa). 2...
  9. Diversity

    UZUSHI Wananchi Ukerewe waanza kutozwa kodi ya mifugo tena

    Taarifa zinadai kuwa kuna zoezi la ukusanyaji wa kodi ya mifugo linaendelea wilayani Ukerewe. Inadaiwa kuwa Mbuzi na Ng'ombe sasa wanalipiwa kodi. Yaonekana, kuna kodi nyingi zinarudishwa.
  10. Diversity

    UZUSHI Mchezaji Thomas Langu Sweswe alicheza mpira dakika 90 bila kugusa mpira

    Thomas Lungu Sweswe ni mchezaji wa zamani wa Zimbabwe, beki wa kati anadaiwa kushikiria rekodi ya kucheza dakika 90 dhidi ya Keiza Chiefs bila kugusa mpira.
  11. Diversity

    UZUSHI Hichilema anafadhili ujenzi wa jengo la ACT Wazalendo

    MADAI Kiongozi mmoja wa Nchi jirani anatajwa kuwa miongoni mwa wafadhili wa ACT Wazalendo na kuwezesha kupatikana kwa ofisi ya kisasa inayomilikiwa na chama hicho ambapo kuna ukumbi wa mikutano wa chama hicho wenye kubeba watu 1000 umepewa jina la HICHILEMA HALL
  12. Diversity

    UZUSHI Yanga Sc yaachana na Kocha wake Mkuu Nasreddin Nabi, leo Oktoba 25, 2022

    Kuna tetesi zimeibuka leo 25/10/2022 zinadai kuwa Yanga imeachana na kocha wake Mkuu Nasreddin Nabi. Tetesi hizi zimeshika kasi baada ya kuchapishwa na Gazeti la Mwanaspoti pamoja na kutumwa kwenye mitandao ya kijamii. Mpaka kufikia saa saba mchana Uongozi wa Yanga, umeendelea kuwa kimya na...
  13. Diversity

    UZUSHI BAVICHA yatofautiana na maagizo ya Baraza kuu la chama chao, yaunga mkono tozo zinazokusanywa na Serikali

    Barua inayosemekana ya CHADEMA ikieleza malalamiko ya Baraza la vijana la Chadema (BAVICHA) kutoridhishwa kwao na maagizo yanayotolewa nje ya vikao rasmi vya katiba ya chama chao. Barua inayodaiwa kutolewa na BAVICHA ikipingana na maelekezo ya baraza kuu la chama chao
  14. Diversity

    UZUSHI Kuvaa nguo nyekundu kunasababisha kupigwa na radi

    Madai: Yapo madai kutoka katika jamii mbalimbali yakihusisha rangi nyekundu na radi. Baadhi ya jamii zinaamini kwamba kuvaa mavazi yenye rangi nyekundu wakati wa mvua ni hatari kwa sababu yanaweza kusababisha ukapigwa na radi. Sambamba na hilo jamii nyingine zinaamini Mjusi kafiri na Kondoo wana...
  15. Diversity

    KWELI Kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya saa 72

    Katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo katika jukwaa la JamiiForums.com, kumekuwa na majadiliano na maswali yanahoji au kutoa taarifa ambazo wengi hawana uthibitisho nazo kuhusu dawa za kuzuia maambukizi ya VVU ambazo muhusika anatakiwa kutumia ndani ya masaa 72. Je, hili lina ukweli? Na...
  16. Diversity

    KWELI Baadhi ya raia wa Afrika Kusini kuwataka wageni kuondoka nchini mwao

    Nimepokea hivi karibuni voice note kutoka kwa Mtanzania anayeishi Afrika Kusini. Sauti hiyo ya Dudula Master ambaye ni mhamasishaji mkubwa wa Xhenophobia ametoa onyo dhidi ya wageni wote kuondoka Afrika ya Kusini kuanzia tarehe 02 Septemba 2022 hadi Machi 2023. Nchi zetu hususan Tanzania...
  17. Diversity

    China yahitimisha zoezi la kushambulia bahari, wanajeshi kurudi makambini

    China carried out its largest-ever military exercises around Taiwan following a controversial visit to Taipei by US House Speaker Nancy Pelosi. Pelosi was the most senior US official to visit Taiwan in 25 years, angering China, which sees Taiwan as part of its territory. What did China say...
  18. Diversity

    UZUSHI Kondomu za BULL zinapasuka sana

    Kumekuwa na malalamiko ya watu kadhaa kwamba Kondomu za Kampuni ya Bull Zinapasuka sana. Baadhi ya wadau wanaona Kondomu hizo si salama ni laini sana kiasi kwamba hupasuka kirahisi wakati wa tendo la kujamiiana. Ukweli upoje?
  19. Diversity

    UZUSHI Fedha za Mfuko wa Jimbo kwa Jimbo la Hai Kilimanjaro hazionekani Jimboni tangu 2020-2022

    MADAI Yapo madai kuwa Fedha za Mfuko wa Jimbo kwa Jimbo la Hai Kilimanjaro hazionekani Jimboni tangu 2020-2022. Mbunge wa Jimbo la Hai, unaulizwa Fedha Za mfuko wa jimbo kwa Jimbo la Hai zimeweza kusaidia shughuli gani tangu 2020 hadi 2022? Aidha, inadaiwa kuna kila dalili fedha hizo wanalamba...
  20. Diversity

    KWELI Zaidi ya watu milioni 91 wanaishi na Ugonjwa wa Homa ya Ini barani Afrika

    Vifo vinavyotokana na ugonjwa wa homa ya ini vimeripotiwa Kuongezeka kwa kasi barani Afrika. Pia, baadhi ya nyaraka zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinaonesha kuwa idadi ya visa vya ugonjwa huu vimefikia zaidi ya milioni 90. Ukweli wa taarifa hizi upoje?
Back
Top Bottom