ZUNGU Kuendesha kikao ja Leo jioni: Je ataweza?

Kaanza vema kwa kuwataka Wabunge wajue kwamba wote wako pale kuwatumikia Wananchi
 
Kwa nini asiweze ?..kile kiti hakina kusoma kwa. Mbunge kama yeye mwenye zaidi ya Miaka 10 Bungeni

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kwa nini asiweze ?..kile kiti hakina kusoma kwa. Mbunge kama yeye mwenye zaidi ya Miaka 10 Bungeni

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Busara inahitajika sana, Embu fikiria alivyomtuliza yule mama, engekuwa mwingine sasa hivi ni malumbano tu!
 
nimemsiki yule mama mwishoni analalamikia mitandao ukiwemo jf japo sijamsikia vizuri mwenye habari kamili tafadhali.!
 
nimemsiki yule mama mwishoni analalamikia mitandao ukiwemo jf japo sijamsikia vizuri mwenye habari kamili tafadhali.!

halafu nicho kibibi kama kichawi fulani, ama kwelo hawa CCM ndio safari yao inatimia
 
nimemsikia yuko shaloow sana hata jf hakuitaja vizuri alisema Forum.
Zungu kaanza vyema ila kachemsha aliposhindwa kulifanyia kazi ipasavyo ombi la Mhe Msemakweli ikimtaka kumuondoa mhe Mchambi alipokuwa anaongea na waziri mkuu wakati mhe Msemakweli alipokuwa anachangia hoja bungeni. Ningempa kredit zaidi kama Zungu angemwamuru mhe mchambiz aache kuongea na Waziri Mkuu na arudi kukaa kwenye kiti chake, amwache mhe Waziri mkuu aweze kumsikiamojakwa moja Mhe Msemakweli. Badala yake yeye alimuacha Mhe Mchambi aendelee kuongea na PM na kumwambia Mhe Msemakweli alendelee kuchangia PM ni mzoefu na anamsikia huku PM akiwa anaongea na Mhe Mchambi.
Tofauti kabisa na Spika ambaye anakuwaga mkali kwa wabunge au mawaziri ambao wanakwenda kumuongelesha PM wakati vikao vinaendelea.
Hapo zungu kachemsha, Naendelea kumsoma, kuna wabunge wapo kwenye list ya kuchangia zen wanaitwa lakini hawapo
 
Back
Top Bottom