Zungu awaponda wanafunzi wa vyuo Vikuu- Awaambia wasidanganywe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zungu awaponda wanafunzi wa vyuo Vikuu- Awaambia wasidanganywe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SG8, Jun 15, 2011.

 1. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 180
  Ni mbunge wa Ilala anchangia sasa. Anasema wanafunzi wa Vyuo Vikuu wasidanganywe na watu ambao wamesoma na wana shahada. Wakubali kukaa chini na kutafuta suluhu ya matatizo yao badala ya kuandamana na kuvunja magari. Anadai wamshukuru Kikwete kwa kuwaletea Chuo Kikuu wakati hakipo kwenye mpango wa serikali. Aunga mkono hoja mia kwa mia
   
 2. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  Wanafunzi wanatakiwa kuwashukuru tax payers kwani kodi zao ndio zimewezesha ujenzi wa hivyo vyuo. Kuandamana ni haki yao ya kimsingi ktk kudai utekelezaji wa madai yao. Zungu umepata wapi degree yako? Nina imani ungepitia kunji na mikutano ya pale Rev. Square ungewafeel hawa madent.
   
 3. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  nasikia jamaa huyo anaeitwa Zungu ni muuza unga, sumu inayoua vijana hao hao anajidai kuwatetea ...Pambaf
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,519
  Likes Received: 19,942
  Trophy Points: 280
  hoja gani ameiunga mkono?
   
 5. fige

  fige JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Migomo haijaanza leo inawezekana hata yeye amewahi goma na kuandamana,ni kwa vile anakula keki ndio maana anawaponda.

  Labda kama amesoma nje atakuwa hajawahi kugoma
   
 6. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Migomo ilianza na akina Sita back in the 60's.
   
 7. HOYANGA

  HOYANGA Senior Member

  #7
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  HOJA CHAKAVU ZA MZEE WA PODA, Tumshukuru kikwete kwa lipi hasa?, kama ni vyuo hakuna maana!! YEYE JK ATEKELEZA MAMBO YA MKAPA!! HUYO MZUNGU PORI INAWEZEKANA HAJAWAHI KUSOMA CHUO KIKUU CHOCHOTE DUNIANI.
   
 8. mkolosai

  mkolosai JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 638
  Trophy Points: 280
  kwanza inasadikika alikuwa mtoto wa kwenye chupa (flask) artificial insemination alikosewa ndiyo maana hana sera kichwani mwake.......
   
Loading...