beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,877
- 6,326
Mgombea pekee wa nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu (Mbunge wa Ilala) amepata 98.33% ya Kura zilizopigwa
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema kati ya Wabunge 301 waliopiga Kura, 296 wamepiga Kura za Ndiyo, 3 wamepiga Kura ya Hapana na Kura mbili zimeharibika
Mara baada ya kuchaguliwa Zungu aliapishwa na Dkt. Tulia Ackson Bungeni