Zuma 'shocked by white poverty'

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,006
Sijui JK naye lini atakuwa shocked na umaskini uliokithiri miongoni mwa Watanzania walio wengi

Zuma 'shocked by white poverty'
BBC News Online

Jacob Zuma said he wanted all people to have access to services
The head of South Africa's governing African National Congress, Jacob Zuma, has said he is shocked and embarrassed about white poverty in the country.

Mr Zuma was speaking after visiting the Bethlehem township near the capital, Pretoria, where white families live without running water or electricity.

He said the high level of black poverty did not mean whites did not suffer too.

South Africa's Helping Hand says the number of homeless white people has increased by 58% since 2002.

A new report by the charity, which helps poor white communities, says more than 130,000 white people in South Africa are homeless.

'Not about politics'

Speaking in Bethlehem, Mr Zuma said: "I am shocked and surprised by what I have seen here.

"The vast number of black poverty does not mean that we must ignore white poverty, which is increasingly becoming an embarrassment to talk about."

He said he had seen the same problems facing white residents of the township as he had seen in black squatter camps.

"This is not about politics, it's about people who are poor, who are in need and want to be helped by government," he said, quoted by the AFP news agency.

The trade union Solidarity, whose membership is mainly white, said it welcomed Mr Zuma's visit as an acknowledgement that poverty did not only affect the majority black population.

"For a long time whites have been seen as rich and and blacks poor," Solidarity secretary general Flip Buys told the AFP.

"Talking about white poverty has been seen as politically incorrect. The emergence of this scourge has left everyone looking for answers."

Analysts say Mr Zuma is keen to reach out to the white community at the same time as the main opposition party - which is predominantly white - seeks to increase its appeal to the black community, ahead of next year's election.
 
Speaking in Bethlehem, Mr Zuma said: "I am shocked and surprised by what I have seen here.

"The vast number of black poverty does not mean that we must ignore white poverty, which is increasingly becoming an embarrassment to talk about."

Statement ya Zuma ina walakini.

.
 
Statement ya Zuma ina walakini.

.

Sioni walakini wowote kwenye hiyo statement. SA imejitahidi kupunguza poverty miongoni
mwa raia wake weusi lakini hii isiwe na maana ya poverty kwa weupe ipande kiasi hicho.

Wote ni raia wa SA na juhudi inatakiwa ifanywe kupunguza poverty miongoni mwa raia wao wote.

Binafsi nilijua Zuma atakuwa balaa lakini toka amekuwa Mwenyekiti wa chama naona maongezi yake yana make sense.

Labda yeye ataifaa SA kuliko huyo Mbeki. Tatizo la sisi Waafrika ni kubadilika tukipata vyeo.
 
Mi naona exaggerations, undumilakuwili na unafiki. Wengine watasema "ndio siasa ilivyo" - bull shit!
Since when to talk about black poverty is an embarrassment?

Nyota njema huonekana asubuhi.

.
 
Mi naona exaggerations, undumilakuwili na unafiki. Wengine watasema "ndio siasa ilivyo" - bull shit!
Since when to talk about black poverty is an embarrassment?

Nyota njema huonekana asubuhi.
.

Umaskini ni umaskini tu, whites blacks yellows or reds. Naona ni vizuri sana kama Zuma ameona hilo. At least haoneshi ukaburu wa weusi kama alivyo Mbeki.
 
sio kawaida wala si kweli kuwa south africa kuna wazungu masikini. sijui analinganisha na kina nani? nafikiri anatafuta kura kama wenzangu wanavyosema, kwani yeye ndo amezaliwa leo south africa? si alikuwepo toka enzi hizo, umasikini huo ndo auone leo? asilete longolongo hapa. However, namtakia yote mema kama anatafuta kura,pamoja na kwamba yeye anatabia chafu ya umalaya na mitara, na si picha nzuri kwa watu as president kama atakuwa hivyo.
 
Inategemea wewe unadefine vipi umasikini. Au unataka mzungu awe namna gani mpaka umuweke kwenye kundi la watu maskini. Lakini nimebahatika kuwaona wazungu wa Afrika kusini maskini mpaka wanatia huruma, anachosema Zuma kina ukweli. Kama yuko objective na kama yuko sincere anachosema ni kweli, lakini cha muhimun isiwe ni kuwa ana malengo ya kisiasa. Kuna baadhi ya watu haawaamini kama wazungu wanaweza kuwa maskini, kwa hiyo wakiambiwa kuwa wazungu maskini wanaona kama si kweli
 
Mi naona exaggerations, undumilakuwili na unafiki. Wengine watasema "ndio siasa ilivyo" - bull shit!
Since when to talk about black poverty is an embarrassment?

Nyota njema huonekana asubuhi.

Nadhani nilikosea; "to talk about white poverty is an embarrassment" according to the article. However, Zuma was aware of that, but still he was shocked!

Zuma 'shocked by white poverty'

The head of South Africa's governing African National Congress, Jacob Zuma, has said he is shocked and embarrassed about white poverty in the country.

Halafu anaendelea kusema "This is not about politics",
"This is not about politics, it's about people who are poor, who are in need and want to be helped by government," he said, quoted by the AFP news agency.

Kwanini ajishuku?

.
 
Back
Top Bottom