Zuma na wake zake nini funzo kwa wakulu wetu barani Afrika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zuma na wake zake nini funzo kwa wakulu wetu barani Afrika?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Apr 23, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG][​IMG][​IMG]

  Zuma rais wa Africa Kusini akiwa na mke wake mpya wa sita baada ya kufunga ndoa. Bora kuwa na wake wa halali hivyo kuliko kuwa na vimada na kuwaharibia future yao kwa sababu ya kuwaridhia wakulu.
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  mafunzo gani, shabikia ngono tu.....at 70+ anawaweza kweli wote hao unless anasaidiwa!
   
 3. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  ni bora kusaidiwa sikumojamoja kuliko kuiba wewe sasa kwamba unakua mzigo wako huna haja ya kula huku umejificha
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kama asingekuwa na uwezo msukumo wa kuongeza wake ungetoka wapi?
   
 5. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  huyu Zuma nadhani ana pepo wa ng*no! P.W. Botha wa Africa Kusini, alishawahi kutamka kuwa: 'watu weusi akili yao imezama ktk sex, kuoa wanawake kibao, ... na pombe'. Sijuhi alikuwa sahihi!
   
 6. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hivi huyo hapo juu ni Baba Mwanaasha au ...?
   
 7. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Makabila ya Afrika Kusini ni utamaduni wao. Angalia mfalme Mswati anavyoanikiwa vimwana kila mwaka ajichagulie anavyopenda, mfumo, mapokeo na utamaduni wao, vinginevyo angekuwa na dini ingembutua kidogo kama alivyokuwa Mandela. Hukushangaa Mandela kumlalamikia Winie Mandela hadi kumtaliki kisa mambo yao ya ndani, sasa wakati Zuma bado anadai hakuna pingamizi.
   
 8. shanature

  shanature JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 718
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kamjaribu alafu utuletee nmajibu,,age aren't nothing just number mbona vijana hawaoi na wana miaka kati 22-35,,
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Embu weka wazi unae mlenga mkuu!!!!!!!!!!!
   
 10. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Akiwa anasaidiwa si ndio anazidisha uwezekano wa kupata maradhi
   
 11. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Msukumo na performance ni vitu viwili tofauti....
   
 12. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145

  Zee lote la nini....liniwangie bure!
   
 13. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ......Ama kweli mwanaume hazeeki!!
   
 14. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wabogo kwa wivu hao wake zake wenyewe wanafurahia kuolewa na Zuma. Sisi tunalalamika.
   
 15. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  mi nimekoma na "AL SHABAAB" a.k.a Malima anavyofurahia jk kuwa TWELVETH LADY
   
 16. Bufa

  Bufa JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 4,180
  Likes Received: 3,390
  Trophy Points: 280
  Safi sana Zuma, keeping African traditions alive.. Am on your way
   
 17. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kazi kwelikweli!
   
 18. kibakwe

  kibakwe Senior Member

  #18
  Apr 24, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  huyo jamaa na alikwenda kwenye sherehe hizo
   
Loading...